johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Muswada wa Fedha(Finance Bill) ikishapitishwa na Bunge na kusainiwa na Rais wa JMT inakuwa Sheria.
Kwahiyo kila Matumizi yatakayofanywa yanakuwa ni Kwa mujibu wa sheria na ndivyo ilivyokuwa hadi Mzee Kikwete anamaliza muda wake.
Ilipoingia awamu ya 5 ndio tukaanza kusikia Wabunge wanamshukiru Shujaa Maguful Kwa kupeleka Fedha za kununua Madawa kwenye majimbo yao nk.
Na ukiwasikiliza Wabunge wa sasa wanapokaa kama Kamati utaona Kabisa wanajilazimisha tu lakini hawajui tofauti na Wakati Ule wa J J Mnyika, Zitto Kabwe na James Mbatia.
Mungu wa Mbinguni awabariki!