Tetesi: SIDO kuanza kutengeneza ndege/Airplane 2018?

kama diamond kaweza kutengeneza pafyumu itashindikanaje taasisi kubwa kama SIDO yenye matawi nchi nzima hata wakiamua kila mkuu wa wilaya awe na ndege yake inawezekana
 
Kuna vipaji vingi kitaa viliwahi kupaisha ndege au helicopter inawezekana kabisa

 
SIDO ni zaidi ya NASA (USA) ikiwezeshwa watu wana vyeti vyao original pale wametulia tu ofisi. Wameanza na Batiki na inafanya vizuri sokoni.
 
Fix tu hizo.... mmeshindwa kufufua kiwanda cha ZZK MBEYA na kile cha magari ya kuunganishwa (Nyumbu) mtaweza ndege? Wadanganyeni wasiowafahamu au wasahaurifu
 
SIDO pale VINGUNGUTI kufagia (kufanya usafi) hata kupiga rangi yale ma-godown yao tu kumewashinda, itawezekanaje ndege?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kama diamond kaweza kutengeneza pafyumu itashindikanaje taasisi kubwa kama SIDO yenye matawi nchi nzima hata wakiamua kila mkuu wa wilaya awe na ndege yake inawezekana
[emoji14] [emoji14] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
kwani gari za nyumbu si walisema december 2016 zinaanza kazi, mliopo mjini mnaziona wengine tupo vijijini
 
tuwape muda, watafanya maajabu DUNIA nzima isinzie.
 

SIDO wakifanya kweli hili nitaogelea majini Dar mpaka Zanzibar.
 
hao watengeneze mashine za tofali tu wasitake kutuulia watanzania wenzetu kwa kututengenezea vitu feki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…