Sie tunasajiri nyie mnatuangalia tu

Sie tunasajiri nyie mnatuangalia tu

Muda utaongea,Yanga na Azam tu ndiyo zimeonekana kama vilabu pekee zenye kujiamini katika kujipanga kuelekea msimu mpya..wakati vilabu vingine vikipigwa butwaa bila hata kujua wafanye nini.tukumbuke safari hii muda wa pre season ni mfupi mno..timu zinatakiwa kujipanga mapema...
Naona kuna kila dalili msimu ujao kuna timu itapigania kumaliza top 4..tupo hapa,wakati ndio huu.
Usajilli ndio umeanza kelele za nini kibwengo wewe
 
Ukweli ni kwamba ukimya wa Simba kwenye usajili unawaumiza utopolo
Bosi hapa hujasema ukweli!
Yanga mbele kwa mbele,haina muda wa kuhangaika na Simba mambo ni mengi imemaliza usajili, baada ya uchaguzi inaandaa kambi!

Simba wajiandae kwa maumivu tena mwaka huu kampeni ni ile ile unbeaten plus kuipasua Simba na Hersi ameongeza kufika mbali mashindano ya CAF na kujenga uwanja bora Kaunda!
 
Muda utaongea,Yanga na Azam tu ndiyo zimeonekana kama vilabu pekee zenye kujiamini katika kujipanga kuelekea msimu mpya..wakati vilabu vingine vikipigwa butwaa bila hata kujua wafanye nini.tukumbuke safari hii muda wa pre season ni mfupi mno..timu zinatakiwa kujipanga mapema...
Naona kuna kila dalili msimu ujao kuna timu itapigania kumaliza top 4..tupo hapa,wakati ndio huu.
Nyie mnasajiri sisi tunasajili
 
Nyani wa pori la Utopolo katika pozi la.kiporipori
FB_IMG_1629996568355.jpg
 
Ukweli ni kwamba ukimya wa Simba kwenye usajili unawaumiza utopolo
Kama zeruzeru anavyoumia kwa Mo na Barbra kutojibu matusi na kejeli zake. Kukaa kimya ni jibu zuri sana kwa mpumbavu
 
Manara ndo alikuwa mnafiki anayevujisha siri za simba nyie fanyeni mambo yenu mambo ya simba hayawahusu subirini champion's league ianze muanze kwenda airport kuwapokea wageni wenu.
Ilikuwa kila akienda kugegedwa na Mhandisi anabwabwaja kila kitu.
 
Yaani kuvunja mkataba na vitimu vya ligi kuu ndio UANAUME?

Wanaume wamevunja mkataba wa Aziz KI huko...kumbuka Simba SC walishindwa.

Kwa Moses Phiri nako mulishindwa mkaamua kusubiri mpaka mkataba wake uishe.

Kwa adebayor ndio wala tusizungumze.
Ametangazwa lini huyo aziza :?
 
Inachekesha sana,nyie si mnasajili ? Ya simba yanawahusu nini? Mbona hamna amani? Muda si bado upo..
 
Yaani kuvunja mkataba na vitimu vya ligi kuu ndio UANAUME?

Wanaume wamevunja mkataba wa Aziz KI huko...kumbuka Simba SC walishindwa.

Kwa Moses Phiri nako mulishindwa mkaamua kusubiri mpaka mkataba wake uishe.

Kwa adebayor ndio wala tusizungumze.
Yanga haijawahi kuvunja mkataba wa mchezaji yeyote tofauti na kupewa wachezaji wa mkopo toka as vita na wale waliomaliza mikataba . Wadanganye misukule wenzako.
 
Muda utaongea,Yanga na Azam tu ndiyo zimeonekana kama vilabu pekee zenye kujiamini katika kujipanga kuelekea msimu mpya wakati vilabu vingine vikipigwa butwaa bila hata kujua wafanye nini.

Tukumbuke safari hii muda wa pre season ni mfupi mno, timu zinatakiwa kujipanga mapema.

Naona kuna kila dalili msimu ujao kuna timu itapigania kumaliza top 4..tupo hapa, wakati ndio huu.
Mbona mnawashwa sana na mambo ya Simba? Kama Simba wasiposajili si ndiyo furaha kwenu , yaani mnalalamikia mambo yasiyowahusu kabisa kama machangudoa fulani vile. Idadi ya wajinga inaongezeka kwa kasi sana huko Yanga sijui mnakula maharage ya wapi nyie misukule.
 
Back
Top Bottom