Masombogoto
Member
- Sep 10, 2016
- 25
- 24
Wafu wapo wapi?Mwisho wa siku kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe..
Mbona hujaongelea kuhusu roho ya mtu na ulimwengu wa kiroho?
Tueleze basi ilivyo na kifo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafu wapo wapi?Mwisho wa siku kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe..
Mbona hujaongelea kuhusu roho ya mtu na ulimwengu wa kiroho?
Tueleze basi ilivyo na kifo..
Wafu wapo wapi?Kwa akili yako unadhani yale yote yanayofanyika baada ya mtu kufa huwa anafanyiwa marehemu?Na watu wanaposema R.I.P unadhani wanamwambia marehemu?
Kama unadhani hivyo tafakari tena jinsi unavyofikiri.
Mambo yote haya hufanyika kama tu ishara ya kuonesha watu wameguswa na kifo cha marehemu na hawana lugha yoyote tamu ya kuelezea matarajio yao na faraja kwa wanaobaki isipokuwa kuamini kuwa ipo amani baada ya kifo.
Ni sawa na unapomwambia mtu lala salama wakati mtu akilala,anakuwa hajui nini kinaendelea juu yake na wakati mwingine hana uwezo wa kujihakikishia usalama anapokuwa usingizini.
Ama unamwambia mtu safiri salama wakati yeye si dereva wala rubani.Hana uwezo wa kubadilsha chochote iwapo Mungu ataamua vinginevyo,sasa unataka kutuambia tusiseme hivyo kwa kuwa tunajaribu kumpangia Mungu tunavyotaka sie?
Maneno haya hutolewa kama faraja tu ya waliobaki ili kupunguza maumivu ya kuondokewa na mpendwa wao,kwani wakati wewe unazungumzia habari za mavumbini,bado biblia hiyo hiyo imezungumzia habari za mateso baada ya kifo.Na hata hivyo hujui pia ni hatua zipi hufanyika hadi ukawa mavumbi.Hatujui vizuri Yesu alipotoa mfano wa Lazaro na na yule tajiri kama ni uhalisia ama ilikuwa mfano tu.Labda utuambie ni dhambi gani ukisema R.I.P na usiposema utapata thawabu gani?
Ni sawa unapomwambia mtu amani iwe kwako na usiposema hivyo ndipo atakosa amani?Ubishi na Upinzani mwingine hauna maana . Tafakari
Wafu wapo wapi?Inakuwaje Tunapokufa?
Jibu la Biblia
Biblia inasema: “Walio hai wanajua kwamba watakufa; lakini wafu, hawajui lolote kamwe.” (Mhubiri 9:5; Zaburi 146:4) Kwa hiyo, tunapokufa, hatupo. Wafu hawafikiri, hawatendi, wala kuhisi chochote.
“Utarudi mavumbini”
Mungu alieleza kile kinachotokea tunapokufa aliposema na mwanadamu wa kwanza, Adamu. Kwa sababu Adamu alikosa kutii, Mungu alimwambia hivi: “Wewe ni mavumbi nawe utarudi mavumbini.” (Mwanzo 3:19) Kabla ya Mungu kumuumba Adamu “kutoka katika mavumbi ya nchi,” hakuwepo. (Mwanzo 2:7) Vivyo hivyo, Adamu alipokufa, alirudi mavumbini na kuacha kuwapo.
Jambo hilohilo hutokea kwa wale wanaokufa wakati huu. Inapozungumzia kuhusu wanadamu na wanyama, Biblia husema: “Wote wametoka katika mavumbi, nao wote wanarudi mavumbini.”—Mhubiri 3:19, 20.
Kifo si mwisho wa mambo yote
Biblia inalinganisha kifo na usingizi. (Zaburi 13:3; Yohana 11:11-14; Matendo 7:60)
Mtu aliyelala usingizi mzito hajui jambo lolote linaloendelea. Ndivyo ilivyo kwa wafu pia, hawajui lolote. Hata hivyo, Biblia inafundisha kwamba Mungu anaweza kuwaamsha wafu kana kwamba walikuwa wamelala na kuwapa uhai tena. (Ayubu 14:13-15) Kwa wale ambao Mungu huwafufua, kifo si mwisho wa mambo yote.
Inakuwaje Tunapokufa? | Maswali ya Biblia
Sisi wakristo wa kikatoliki watu wa dogma tunasema hili ni fumbo la imani.Eti Yesu atarudi kuhukumu,kwani huko aliko hakuna wa kuhukumu?uongo mwingine wa hovyo sana,naomba nioneshwe kwenye biblia ni wapi Yesu kasema atakuja kuhukumu?
Ubarikiwe mkuuNaomba kutoa elimu ila sio kufundisha Imani, maana kila mtu yuko huru kuamini anacho amini.
Katika Maandiko Matakatifu sisemi Biblia sio kwa bahati mbaya, kuna kitabu cha pili cha Makabayo sura ya 12 ambapo tunasoma Mungu akimwagiza Yudas Maccabeus akusanye fedha kutoka kwa watu(waamini) ili kutolea sadaka kwajili ya roho za marehemu wanajeshi ambao walikufa vitani.
Huo ndio msingi wa Kanisa Katoliki kuombea marehemu. RIP kwa bahati mbaya sana inatafsiriwa kwa lugha ya Kiingereza lakini kiukweli hicho ni kifupisho cha lugha ya Kilatini RIP = Requiscant In Pacem. Utagundua pia watu hudhani vifupisho kama i.e au etc au e.g ni vya lugha ya Kiingereza la hasha hivyo vyote ni vya lugha ya Kilatini.
Martin Luther mwanzilishi wa Protestantism kwa kuwa alikuwa padre na mwanatheolojia wa Kanisa Katoliki alifahamu maana ya kitabu cha makabayo, hivyo alipoongoza upinzani wake aliondoa vitabu kutoka katika orodha ya vitabu vilivyomo katika Maandiko Matakatifu. Ndio maana, ukiondoa Kanisa Katoliki madhehebu yote mengine hutumia Biblia yenye vitabu 66 badala ya 72(73).
Kwa nini Luther alikiondoa kitabu cha Makabayo? Wakati huo Kanisa Katoliki lilitaka kujenga ukuta kuzungushia Vatican kuepuka wavamizi, likawahamisisha waamini wake kama alivyofanya Yudas Maccabeus watoe fedha na kufanya hivyo roho za marehemu wao zitapata msamaha wa dhambi na kupokelewa mbinguni. Luther alilipinga jambo hilo, Unajua kwamba kanisa Katoliki hukusanya kodi kutoka nchi zote ambazo ukatoliki upo, hii ilimaanisha Ujerumani itachangia uchumi wa Roma.
Je Luther alikuwa sahihi au sio sahihi kuondoa baadhi ya vitabu? Ni kwa wanazuoni kujadili. Je vipi leo akitokea mtu mwingine akaongeza Injili ya tano je atakuwa sahihi? Kila mtu akiwa na uhuru wa kuongeza au kupunguza tutafika wapi?
Requiscant in Pacem ni sala katika Requiem Missae ambapo mkristu mkatoliki baada ya kumaliza safari yake hapa duniani huombewa...je ni baba gani ambaye mwanae akimwomba samaki atampa ng'e? Kanisa sio kazi yake kuhukumu watu, kanisa huombea waamini wake pumziko lenye heri!
Ushauri wangu tukisome hiki kitabu cha Makabayo tujiridhishe wenyewe!!!!!!!
It’s a stupid saying by some stupid denomination. They believe by saying that a dead person will be exonarated of his or her sins and be allowed into heaven instead of hell fire*R.I.P[emoji779]*
*R.I.P[emoji779][emoji779]*
*R.I.P[emoji780][emoji780][emoji780]*
⚰⚰[emoji24]⚰⚰[emoji24]⚰⚰
*"PUMZIKA KWA AMANI" [emoji779]*
JE KUNA AMANI IPI KABURINI[emoji780][emoji15]
*"MUNGU ILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI"*
HUKO MAHALA PEMA NI WAPI[emoji780][emoji15] JE WAPO WASIOLALA MAHALA PEMA HUKO PEPONI?[emoji134]♂[emoji779]
*UTANGULIZI*
Limekuwa ni jambo la kawaida kuwaambia ndugu zetu waliolala ( wafu) wapumzike kwa amani ( R.I.P) na wengine wakaenda mbali zaidi kumsihi Mungu azilaze Roho hizo mahali pema!
BIBLIA INASEMA WAFU WAKO WAPI???
Mwanzo 3: 1 *"Kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi"*
»»» NB: WAFU WOTE WAPO MAVUMBINI HAIJALISHI WALITENDA MEMA AU MABAYA WANASUBIRI YESU AJAPO KUTOA HUKUMU.
R.I.P( PUMZIKA KWA AMANI)
JE KUNA AMANI YEYOTE KABURINI MTU ANAPOKUFA???
Muhubir 9:5 *"Lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa"*
NB: WAFU HAWAJUI NENO LOLOTE WALA HAWANA MAWAZO WALA KUMBUKUMBU YA CHOCHOTE NI KAMA MEZA, JIWE NA VIUMBE VYOVYOTE VISIVYO HAI! KWAHIYO KUWAAMBIA WALALE MAHALI PEMA HAKUNA WEMA WALA GHASIA KABURINI. WAFU WOTE HAWAJIELEW!!
*JE TUKIWAOMBEA WAFU WANAWEZA KUFANYA TENA IBADA?* KUTUOMBEA?? AU TUKIWAOMBEA MUNGU ANAWEZA KUWASAMEHE???
»»» Zaburi 115.17
*"Sio wafu wamsifuo BWANA, wala wo wote washukao kwenye kimya"*
»» Zaburi 143:4
*"Pumzi yake hutoka, huurudia udongo wake,Siku hiyo mawazo yake yapotea"*
»» Mhubiri 9:10
*"Lo lote mkono wako utakalolipata kulifanya, ulifanye kwa nguvu zako; kwa kuwa hakuna kazi, wala shauri, wala maarifa, wala hekima, huko kuzimu uendako wewe"*
HITIMISHO
[emoji116][emoji116][emoji116]
O1. R.I.P.( PUMZIKA KWA AMANI)
Huu ni msemo wa kipagani tena unaokinzana na maandiko maana wafu hawajui chochote hivyo hakuna amani yoyote kaburini mfu hajitambui hajielew ni kama kochi au peni hana ufahamu.
O2. MUNGU ILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI
a) Mungu hapangiwi pa kumuweka mfu
b) Mfu akifa anarudi kuwa udongo
O3. MFU HAWEZI KUKUOMBEA WALA KUOMBEWA DHAMBI ZAKE ZIISHE
a) Wafu hawawezi kutuombea sio bikra Mariam mama wa Yesu wala mtakatifu yeyote aliyekwisha kufa anaweza kutuombea Kwa Mungu, Biblia inasema tuombe kwa jina la Yesu pekeee.. (Wafilipi 2:10)
b) Mtu akifa historia yake imefungwa hawezi kuombewa dhambi zikamtoka,
c) Ibada na maombezi ni kwa walio hai tu
IBADA ZA KUOMBEA WAFU NI UPAGANI NA MACHUKIZO KWA BWANA
*WITO:* TUMKIRI YESU NA KUMFUATA TUKIWA HAI ILI HATA TUKIFA TUWE NA TUMAINI KUWA AJAPO MARA YA PILI ATATUPA MIILI YA KUTOKUHARIBIKA NA TUTAISHI NAE MILELE..!!
Nakuachia swali la changamoto:
*Kama ibada ya kumuombea mfu ina maana kuna umuhimu gani wa kumtumikia Mungu ukiwa hai si usubiri tu ukifa uombewe dhambi zitoke? Je, nani atapewa adhabu ya moto na kupotea milele wakati wafu wote huwa wanaombewa?*
TAFAKARI
Unajua uzuri wa imani ni moja hakuna anayeweza kuthibitisha. Mwenye kuamini Mungu yupo hawezi kuthibitisha na asiyeamini Mungu yupo hawezi kuthibitisha. Hivyo badala ya ninyi kujifanya mnajua biblia bora mngebaki na imani zenu bola kukosoana.Yesu ni mungu wa wapi?mnajiita wasomi lakini ni empty kabisa,rudi kaikague biblia vizuri itakueleza huyo unaemuita mungu ameelezewa vipi
Hahahajajjaa we jamaa weeJust to correct you....Yesu..hata rudi kuhukumu mtu sio kazi yake hiyo ni kazi ya Mungu kuhukumu...
unaamini atarudi kwa mara ya pili?Eti Yesu atarudi kuhukumu,kwani huko aliko hakuna wa kuhukumu?uongo mwingine wa hovyo sana,naomba nioneshwe kwenye biblia ni wapi Yesu kasema atakuja kuhukumu?
aliwaambia mkila tunda hamtakufa na walipokula kweli hawakufa maana tunda halikua na sumuKama mtu akifa hajui neno lolote... maanake ujumbe wa REST IN PEACE haujui pia...
Ni umizimu... na hila za shetani kuwadanganya wanadamu kuwa mfu anasikia... kama alivyodanganyanya pale bustanini kuwa HAKIKA HAMTAKUFA wakati MUNGU alisema HAKIKA MTAKUFA
Sasa hapo kujiuliza kati ya MUNGU MUUMBAJI na Shetani ni nani muongo?
Kama MUNGU ni muongo basi wafu wanasikia
Kama Shetani ni muongo basi wafu hawajui neno lolote na kuwaambia waREST in Peace ni kuungana na shetani.
aliwaambia mkila tunda hamtakufa na walipokula kweli hawakufa maana tunda halikua na sumu
Neno alilolitamka Yesu ndilo hilohilo litakalotuhukumu. Mhukumu ni Yesu mkuu, ndiye anayejua ngano na maguguJust to correct you....Yesu..hata rudi kuhukumu mtu sio kazi yake hiyo ni kazi ya Mungu kuhukumu...
Nadhani ibada ile inafanyikaga kwa ajili ya wale walio hai na siyo kwa ajili ya marehemu*R.I.P[emoji779]*
*R.I.P[emoji779][emoji779]*
*R.I.P[emoji780][emoji780][emoji780]*
[emoji1019][emoji1019][emoji24][emoji1019][emoji1019][emoji24][emoji1019][emoji1019]