Sielewi kitu najiona nimetengwa na baba mzazi

Habar wakubwa zangu

short story [emoji116]

Mimi ni kijana umri wa miaka 22, nimaliza kidato cha 4 mwaka 2017
Katika familia yetu tupo watatu, dada kaka namimi ni wamwisho.

kaka yangu anamiaka 34 bado anakaa nyumbani, kiukweli hana mbele wala nyuma.

akikosa hela ya pombe anapanga watu waje nyumbani kwamba yeye amekopa sasa miezi imepita hajalipa

wazazi wakilipa, wanagawana wanaenda kula starehe, zikiisha anaiba vitu nyumbani anaenda kuuza, wazee wapo tuuh hawasemi kitu, pia mzee anampa sana mtaji kwa mwaka unaweza hesabu anapewa zaidi ya mara 6 mpaka 7 lakin miezi 3 mingi kauwa mtaji,
POINT SASA
[emoji116] mzee wangu amestaafa hiv karibuni lakini mzee amenitenga mm mtoto wake wamwisho ameenda kumpa tena mtaji yule mwanae wapili wakiume, mzee hataki hata kujadili namimi mambo yakufanya [emoji34]
Kiukwel nimeumia sana, ukiangalia mim ndio ninamaendeleo na akili kubwa sana Kati yawatoto wake wote 3

Naomben ushauli wenu, nimfanyeje kwa uyu mzazi wangu
Wewe una akili zaidi ya wengine kama ulivyosema, pambana. Acha Mzee awasaidie hao wengine
 
kama unaakili tafuta mtaji wew mwenyewe
 
Dogo komaa uje umsaidie mama hapo nyumbani pesa ya mafao/mirathi inalaana yake ,tafuta kwani usipofanya hivyo baba na huyo mlevi wakimaliza pesahiyo wataaza kupanga kuuza nyumba
hahahahah kama me nipo hawatoboi
 
Habar wakubwa zangu

short story [emoji116]

Mimi ni kijana umri wa miaka 22, nimaliza kidato cha 4 mwaka 2017
Katika familia yetu tupo watatu, dada kaka namimi ni wamwisho.

kaka yangu anamiaka 34 bado anakaa nyumbani, kiukweli hana mbele wala nyuma.

akikosa hela ya pombe anapanga watu waje nyumbani kwamba yeye amekopa sasa miezi imepita hajalipa

wazazi wakilipa, wanagawana wanaenda kula starehe, zikiisha anaiba vitu nyumbani anaenda kuuza, wazee wapo tuuh hawasemi kitu, pia mzee anampa sana mtaji kwa mwaka unaweza hesabu anapewa zaidi ya mara 6 mpaka 7 lakin miezi 3 mingi kauwa mtaji,
POINT SASA
[emoji116] mzee wangu amestaafa hiv karibuni lakini mzee amenitenga mm mtoto wake wamwisho ameenda kumpa tena mtaji yule mwanae wapili wakiume, mzee hataki hata kujadili namimi mambo yakufanya [emoji34]
Kiukwel nimeumia sana, ukiangalia mim ndio ninamaendeleo na akili kubwa sana Kati yawatoto wake wote 3

Naomben ushauli wenu, nimfanyeje kwa uyu mzazi wangu
Kwanza, huna haki ya kumpangia mzee wako ni namna gani agawe mali zake. Hizo ni zake na ana maamuzi ya kugawa kwa kadri anavyoona yeye.

Pili, umesema una maendeleo na akili. Sasa unahitaji mgao wa mzee kwa kazi gani wakati kuna ambao bado wanahitaji uwezeshaji wa Mzee?

Tatu, endelea kupambania maisha yako na uondoke hapo nyumbani ili usidhurike na mgao wa mzee na wizi wa kaka yako.

Jichunguze, huenda hata mzee kakusitiri, wewe si mwanaye. Shukuru kwa hilo.
 
Me siyo mwanae au sio, weit kifuatacho ITV
 
Back
Top Bottom