Sielewi kitu najiona nimetengwa na baba mzazi

hahahahah kama me nipo hawatoboi
afande acha utani hela yamafao noma Mana ukiwa kazini hukufanya biashara Sasa imetoka unataka ufanye biashara Mambo kibao wakujisogeza ndo usiseme pia umekua mzee unarudi ujanani kwakasi ,Mambo mengi unavokumbuka kurudi home utulie una milio 2.5 ,,,,,,,ukiulizwa 76 zikowapi ...namadeni unaaza kukumbuka
 
Sisi hatukubali za kuambiwa, anampa amtakaye, huenda unaenda tofauti na atakavyo,

Yawezekana wewe kichwani ni empty halafu hao ndgu zako ndio vichwa ndio maana wana match!
 
Wewe pia unatakiwa ujitambue kijana. Mungu ndiyo hutoa maendeleo na hasa baada ya wewe kujitambua nafasi yako hapa duniani. So amka aja kuwaza vijihela vya baba yako. Kuna watu walishawahi kataliwa na wazazi na leo hii ni matajiri na hao hao baba zao wanabembeleza
Watunzwe
 
Kama una akili na maendeleo si uendelee na maisha yako sasa hao wengine achana nao
 

Muombe mama yako akuambie baba yako ni nani?

Kama ni huyo, basi pambana kivyako na usiweke chuki. Utatoboa.
 
Wewe nakujua sio mtoto wake ni WA kambo wewe sema sisi majirani hatupend kuwambia wewe umefanan na baba Yako WA kambo kwa sababu mama yako alikuwa na analala na babako ila kimsingi wewe ni mtoto wa mshana jr
 
Attitude ya mzee wako ndiyo ilikua ya mzee wangu.

Tofauti ya mimi na wewe mimi sikulalamika kokote nikaendelea na mambo mengine.
 
Kiukweli nimeumia sana, ukiangalia mimi ndio nina maendeleo na akili kubwa sana Kati ya watoto wake wote 3
Sasa una maendeleo, una akili kubwa, unataka nini kwa mzazi wako?

Hata mzazi anamsaidia yule tia maji tia maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…