katuni
Senior Member
- Dec 8, 2012
- 151
- 77
Yeye ni mgeni hapa mtaani kwetu. Mtu pekee ambaye angalau amezoeana nae ni mimi. Ana kama miezi miwili hivi tangu ahamie hapa mtaani. Leo kanieleza matatizo yake ambayo hata mimi sijaelewa na nimeshindwa kumshauri.
Ni kijana mwenye miaka kati ya 24 au 23 ( sikumuuliza miaka ). Alimaliza form four mwaka 2010. Anadai tangu abalehe hakuwai kufanya mapenzi. Amenieleza wazi kuwa hakutaka kiwa msichana. Amekuwa akijichua tu kila akijisikia hamu ya kufanya mapenzi. So, kwa muda wote huo amekuwa akijichua tu. Sasa mwaka huu ( 2013 ) ndo ameamua kuwa na msichana. Lakini, akadai kuwa kwenye familia yao kuna yao ambaye ana mashetani na mara nyingi amekuwa akipandisha. Dada yake huyu alishawai kumwambia yeye kuwa eti ameharibiwa sehemu zake za siri. Kijana wa watu hakuelewa dada yake anamaanisha nini. Ameharibiwa kivipi wakati jembe lake lilikuwa linasima kisawasawa?. Basi akazalau yale maneno ya dada yake. Sasa hivi karibuni tu ndo ameamua kuwa na msichana ambaye alimpenda na wakapendana. Kama unavyojua vijana wa siku hizi, kabla ya ndoa kwanza wanataka wafanye tendo. Kasheshe walipoingia chumbani. Anasema akiwa mbali na yule msichana huwa anamtamani sana lakini wakiwa wote chumbani huwa hana hamu nae kabisa. Anasema siku hiyo alimuandaa vizuri kabisa yule dada. Kama kawaida uume ulisimama ila cha ajabu haukuwa stong sana. Ila alipouingiza tu ukakataa kuingia. Anasema hata yule msichana mwenyewe alikuwa akihisi maumivu pale uume ulipokuwa ukiingizwa. Ilifika kipindi yule msichana akawa hadi anafunga macho kwa maumivu lakini pia na miguu aliibana. Walibadili kila mkao lakini wapi bado ile nanihii haikuingia kabisa. Cha ajabu jamaa uume wake ukanywea kabisa hadi akawa anajishangaa. Basi siku hiyo hawakuweza kufanya tendo lile. Ila alipomuuliza yule msichana, msichana alisema kuwa ana muda mrefu sana hajakutana kimwili na mwanaume. Siku ikawa imepita.
Sasa jana wakiwa guest house na yule msichana mambo yalikuwa vile vile. Tena safari hii eti walipokuwa wakiandaana uume ulisimama kama kawaida. Ila baadaye ulinywea kabisa hivyo hakuweza kufanya. Akaniuliza itakuwa ana tatizo gani?. Je ni kweli kama alivyo sema dada yake kuwa amechezewa?. Kuna bwana mmoja alimwambia ana jini mahaba. Wengine wakasema hana nguvu za kiume. Sasa alipotaka nimshauri juu ya tatizo lake au pengine kulitambua tatizo lake mi nikashindwa. Nikaamua kulileta hapa uwanjani ili kwa wajuzi wa mambo haya wajaribu kutoa msaada.