Sielewi kuhusiana na huyu kijana. Je, wewe unaelewa?

katuni

Senior Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
151
Reaction score
77
Yeye ni mgeni hapa mtaani kwetu. Mtu pekee ambaye angalau amezoeana nae ni mimi. Ana kama miezi miwili hivi tangu ahamie hapa mtaani. Leo kanieleza matatizo yake ambayo hata mimi sijaelewa na nimeshindwa kumshauri.
Ni kijana mwenye miaka kati ya 24 au 23 ( sikumuuliza miaka ). Alimaliza form four mwaka 2010. Anadai tangu abalehe hakuwai kufanya mapenzi. Amenieleza wazi kuwa hakutaka kiwa msichana. Amekuwa akijichua tu kila akijisikia hamu ya kufanya mapenzi. So, kwa muda wote huo amekuwa akijichua tu. Sasa mwaka huu ( 2013 ) ndo ameamua kuwa na msichana. Lakini, akadai kuwa kwenye familia yao kuna yao ambaye ana mashetani na mara nyingi amekuwa akipandisha. Dada yake huyu alishawai kumwambia yeye kuwa eti ameharibiwa sehemu zake za siri. Kijana wa watu hakuelewa dada yake anamaanisha nini. Ameharibiwa kivipi wakati jembe lake lilikuwa linasima kisawasawa?. Basi akazalau yale maneno ya dada yake. Sasa hivi karibuni tu ndo ameamua kuwa na msichana ambaye alimpenda na wakapendana. Kama unavyojua vijana wa siku hizi, kabla ya ndoa kwanza wanataka wafanye tendo. Kasheshe walipoingia chumbani. Anasema akiwa mbali na yule msichana huwa anamtamani sana lakini wakiwa wote chumbani huwa hana hamu nae kabisa. Anasema siku hiyo alimuandaa vizuri kabisa yule dada. Kama kawaida uume ulisimama ila cha ajabu haukuwa stong sana. Ila alipouingiza tu ukakataa kuingia. Anasema hata yule msichana mwenyewe alikuwa akihisi maumivu pale uume ulipokuwa ukiingizwa. Ilifika kipindi yule msichana akawa hadi anafunga macho kwa maumivu lakini pia na miguu aliibana. Walibadili kila mkao lakini wapi bado ile nanihii haikuingia kabisa. Cha ajabu jamaa uume wake ukanywea kabisa hadi akawa anajishangaa. Basi siku hiyo hawakuweza kufanya tendo lile. Ila alipomuuliza yule msichana, msichana alisema kuwa ana muda mrefu sana hajakutana kimwili na mwanaume. Siku ikawa imepita.
Sasa jana wakiwa guest house na yule msichana mambo yalikuwa vile vile. Tena safari hii eti walipokuwa wakiandaana uume ulisimama kama kawaida. Ila baadaye ulinywea kabisa hivyo hakuweza kufanya. Akaniuliza itakuwa ana tatizo gani?. Je ni kweli kama alivyo sema dada yake kuwa amechezewa?. Kuna bwana mmoja alimwambia ana jini mahaba. Wengine wakasema hana nguvu za kiume. Sasa alipotaka nimshauri juu ya tatizo lake au pengine kulitambua tatizo lake mi nikashindwa. Nikaamua kulileta hapa uwanjani ili kwa wajuzi wa mambo haya wajaribu kutoa msaada.
 
Si useme tu kuwa ni wewe? Ya nini kujidanganya mwenyewe?
 
Pole sana kijana najua ni wewe,lakini ucjali muhim jiamni unapikuwa na mwanamke na jambo hili litaisha
 
Baada ya YESU kuzaliwa nazareti,malaika alimtokea baba yake mzazi wiki moja daadae na kumwambia amchukue mtoto aelekee misri ili herode asije muua maana herode alikuwa katika kampeni ya kuwaua watoto wote wenye umri mdogo akihofia kwa mamneno ya wayahudi kwamba kazaliwa mfalme.
Baada ya Yusufu na maria na mtotot yesu kukimbilia misri na kukaa huko kwa muda wa miaka kumi na mbili kisha malaika anamtokea tena yusufu na kumwambia amchukue mtoto arudi tena israel maana herode keshakufa,soma,mathayo sura ya 2:13-15 kisha soma mathayo 2:19-21.yesu alipirudi israel na kuanza kaz yake akiws na zmri wa miaka 12 kuke katika harusi mjini kana.

Baada ya musa kuzaliwa misri katika lile vuguvugu la kuwaua waizrael kwa sababu walikuwa wengi na pharao alihofia wingi wao,alifuchwa katika kiakapu na kuokotwa kando ya mto na binti ya mfalme,akatunzwa na kunyonyeshwa na mama yake aliyekuwa kijakazi katika makaz ya pharao.alipofikisha miaka 35 ndipo alipoanza kutafuta namna ya kuwakomboa waizrael na kuwarudisha katika nchi yao ya misri hii ilikuwa ni baada ya kumuua mmisrri aliyemkuta anapigana na muizrael kisha akawa anaishi kwa kujificha.kwa hiyo ni sasa kusema kuwa musa ni mwafrika pia maana kazaliwa huku na kukulia huku hadi miaka 35.

sijakuelewa Mkuu.
 
Yeye ni mgeni hapa mtaani kwetu. Mtu pekee ambaye angalau amezoeana nae ni mimi. Ana kama miezi miwili hivi tangu ahamie hapa mtaani. Leo kanieleza matatizo yake ambayo hata mimi sijaelewa na nimeshindwa kumshauri.
Ni kijana mwenye miaka kati ya 24 au 23 ( sikumuuliza miaka ). Alimaliza form four mwaka 2010. Anadai tangu abalehe hakuwai kufanya mapenzi. Amenieleza wazi kuwa hakutaka kiwa msichana. Amekuwa akijichua tu kila akijisikia hamu ya kufanya mapenzi. So, kwa muda wote huo amekuwa akijichua tu. Sasa mwaka huu ( 2013 ) ndo ameamua kuwa na msichana. Lakini, akadai kuwa kwenye familia yao kuna yao ambaye ana mashetani na mara nyingi amekuwa akipandisha. Dada yake huyu alishawai kumwambia yeye kuwa eti ameharibiwa sehemu zake za siri. Kijana wa watu hakuelewa dada yake anamaanisha nini. Ameharibiwa kivipi wakati jembe lake lilikuwa linasima kisawasawa?. Basi akazalau yale maneno ya dada yake. Sasa hivi karibuni tu ndo ameamua kuwa na msichana ambaye alimpenda na wakapendana. Kama unavyojua vijana wa siku hizi, kabla ya ndoa kwanza wanataka wafanye tendo. Kasheshe walipoingia chumbani. Anasema akiwa mbali na yule msichana huwa anamtamani sana lakini wakiwa wote chumbani huwa hana hamu nae kabisa. Anasema siku hiyo alimuandaa vizuri kabisa yule dada. Kama kawaida uume ulisimama ila cha ajabu haukuwa stong sana. Ila alipouingiza tu ukakataa kuingia. Anasema hata yule msichana mwenyewe alikuwa akihisi maumivu pale uume ulipokuwa ukiingizwa. Ilifika kipindi yule msichana akawa hadi anafunga macho kwa maumivu lakini pia na miguu aliibana. Walibadili kila mkao lakini wapi bado ile nanihii haikuingia kabisa. Cha ajabu jamaa uume wake ukanywea kabisa hadi akawa anajishangaa. Basi siku hiyo hawakuweza kufanya tendo lile. Ila alipomuuliza yule msichana, msichana alisema kuwa ana muda mrefu sana hajakutana kimwili na mwanaume. Siku ikawa imepita.
Sasa jana wakiwa guest house na yule msichana mambo yalikuwa vile vile. Tena safari hii eti walipokuwa wakiandaana uume ulisimama kama kawaida. Ila baadaye ulinywea kabisa hivyo hakuweza kufanya. Akaniuliza itakuwa ana tatizo gani?. Je ni kweli kama alivyo sema dada yake kuwa amechezewa?. Kuna bwana mmoja alimwambia ana jini mahaba. Wengine wakasema hana nguvu za kiume. Sasa alipotaka nimshauri juu ya tatizo lake au pengine kulitambua tatizo lake mi nikashindwa. Nikaamua kulileta hapa uwanjani ili kwa wajuzi wa mambo haya wajaribu kutoa msaada.

inawezekana ni mahara ya kujichua muda mrefu,hebu mwambie aende akamwoke daktari na sifiche chochote aeleze ukweli wote atapata msaada
 
Dogo kaathirika na kujichua kiasi ambacho misuli yake haiwezi kuwa na hisia anapokuwa na msichana ila naamini wakati mwingine anakuwa sawa ingawa kwa muda mchache Embu aache kujichua Kama miezi Sita na asikutane na msichana asitazame porn pia afanye mazoezi daily note aache michezo ya mikono uumeni kwa miezi Sita nawakilisha
 
Mshauri aoe tu kwanza huyo ni mzima kitaeleweka akiwa kwenye ndoa muhimu asimfiche mwenzake amueleze yote
 
Huyo jamaa yako ana mfadhaiko ndio maana anashindwa kukamilisha tendo. Kama ni mnywaji jaribu kumeza bia mbili kabla ya kukutana na partner wako kupunguza mfadhaiko. Kama sivyo jaribu kuonana na daktari/psychologist.
 
Back
Top Bottom