Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Nimeangalia hii picha kwa kweli nimijikuta natafakari mambo mengi sana....anyway hivi ilikuaje Chibu akakubali kuingizwa King na Manung'ayembe hadi kusababisha hawa watoto wakose malezi ya baba na Mama kwa pamoja....?
kila mwanaume anachepuka but ila kuchepuka hadi kukubali kuharibu familia yako ni upuuzi sana.
kila mwanaume anachepuka but ila kuchepuka hadi kukubali kuharibu familia yako ni upuuzi sana.