Sielewi kwanini Diamond aliharibu familia yake

Mimi sioni kama kaharibu familia yake, kuna watu wapo kwenye ndoa wana watoto nje wanaishia kutoa hela za malezi na kuwaangalia mara moja moja.

Mwanaume kuchepuka ndio asili yetu kuanzia enzi za kina Daudi na Selemani, ila ktk maisha yako yote usiombee uchepuke na mwanamke anaejua kupuliza au kutumia tunguli. Kuna mzee kastaafu lecturer miaka mitatu iliyopita kapukutishwa hela zote karudi kwa mke wake na kabakia na korodani zake.
Hahahhahaahhahahahaah sasa ujinga wenu mkifirisika ndo mnakumbuka kurudi na kutulia na wake zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waja mna mambo sana...hivi mnajuaje kama Diamond hawahudumii watoto wake?Nyumba wanayoishi South ni ya nani?Insurance za matibabu alizokata ni za kina nani?
Mnajua Diamond aliyokuwa anayapitia wakati yuko na Zari?au mnajudge mambo kupitia social media?
Tabia halisi ya Zari mnaifahamu?Dai alimkosea Zari ila mjue kuna mambo pia nyuma ya Zari ambayo Dai aliamua kukausha,ndo maana hata kwenye birthday ya Zari Dai alimwambia nakuheshimu kwa kunipa watoto wawili ndo maana sijawahi kusema upande wangu sababu za kuachana kwetu (Sorry kwa Gazeti)
 
Mrs Van, isome hii post.
 
Napita tu

#14/2loadingblackroseeffect#
 
Waja mna mambo sana...hivi mnajuaje kama Diamond hawahudumii watoto wake?Nyumba wanayoishi South ni ya nani?Insurance za matibabu alizokata ni za kina nani?
Mnajua Diamond aliyokuwa anayapitia wakati yuko na Zari?au mnajudge mambo kupitia social media?
Tabia halisi ya Zari mnaifahamu?Dai alimkosea Zari ila mjue kuna mambo pia nyuma ya Zari ambayo Dai aliamua kukausha,ndo maana hata kwenye birthday ya Zari Dai alimwambia nakuheshimu kwa kunipa watoto wawili ndo maana sijawahi kusema upande wangu sababu za kuachana kwetu (Sorry kwa Gazeti)
Hivi kuhudumia mtoto ni sawa na mtoto kuonana na baba yake ana kwa ana? Hayo mengine ya nyuma ya pazia hayatuhusu issue ni mzazi kua karibu na mtoto wake.
 
Sasa my dear waja mnatakaje?mnajuaje kama hawako karibu?
 
Chinga mdogo wangu!hakuna watu wenye dharau kama wanawake hapa duniani haswaa wakiwa na vijisentii...usiombe ukutane na type hizoo utaacha mpk suruali...yaani acha kabisaa...muacheni diamond hamjui nini kilimpelekea kufanya hvyooo...wanawake tunajijua tabia zetu haswaa tukiwa na kijipato kidogo cha kupata shilling 300,300!!!

Kaa tu kimya dogo!!tuone hivi hivi siyee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom