Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Naandika nafuta naandika nafuta. Wacha nipite tuMimi sioni kama kaharibu familia yake, kuna watu wapo kwenye ndoa wana watoto nje wanaishia kutoa hela za malezi na kuwaangalia mara moja moja.
Mwanaume kuchepuka ndio asili yetu kuanzia enzi za kina Daudi na Selemani, ila ktk maisha yako yote usiombee uchepuke na mwanamke anaejua kupuliza au kutumia tunguli. Kuna mzee kastaafu lecturer miaka mitatu iliyopita kapukutishwa hela zote karudi kwa mke wake na kabakia na korodani zake.
Umeona eeeh.Nachokiona anachomfanyia leo baba yake mzazi na yeye pia atafanyiwa vivyo hivyo na watoto wake.
KARMA is olweiz zea.
Mimi sioni kama kaharibu familia yake, kuna watu wapo kwenye ndoa wana watoto nje wanaishia kutoa hela za malezi na kuwaangalia mara moja moja.
Mwanaume kuchepuka ndio asili yetu kuanzia enzi za kina Daudi na Selemani, ila ktk maisha yako yote usiombee uchepuke na mwanamke anaejua kupuliza au kutumia tunguli. Kuna mzee kastaafu lecturer miaka mitatu iliyopita kapukutishwa hela zote karudi kwa mke wake na kabakia na korodani zake.
Mimi sioni kama kaharibu familia yake, kuna watu wapo kwenye ndoa wana watoto nje wanaishia kutoa hela za malezi na kuwaangalia mara moja moja.
Mwanaume kuchepuka ndio asili yetu kuanzia enzi za kina Daudi na Selemani, ila ktk maisha yako yote usiombee uchepuke na mwanamke anaejua kupuliza au kutumia tunguli. Kuna mzee kastaafu lecturer miaka mitatu iliyopita kapukutishwa hela zote karudi kwa mke wake na kabakia na korodani zake.
Labda humpendi Diamond platnumz, lkn kwa mwaka jana Mondi kafanya show zaidi ya 80, au wewe ulitaka mpaka anguke jukwaani. Sasa anapumzika we miezi miwili ya mwisho kapiga show zaidi ya 15. Steji haiwezi kumsahau sababu ndio kazi yake na anahitaji kupumzika, kutunga nyimbo mpya na style mpya au wewe labda una lako jingine manake hata hao wasanii wakubwa duniani wanapumzika miaka. Ila April Wasafi festival itakuwa ipo Oman.Lini tena kutumbuiza maaana hata masteji yatamsahau?
Kwa hiyo sababu unaona naongea ninachokiamini kiamini mimi ambacho ni tofauti unachokiamini ww ndio unaona na mtetea.Hii ID ipo kujaribu kumtetea Dee aonekane hana anayosemwa
Utachoka tu muhusika wewe
Ivan naye aliishi maisha aliyoyapitia? Au ww ulitaka Mondi afanyeje.Diamond anaishi maisha aliopitia hakuona umuhimu wa baba na yeye haoni umuhimu wa kuwa baba
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimsemee marehemu uwongo.Ivan naye aliishi maisha aliyoyapitia? Au ww ulitaka Mondi afanyeje.
Haya basi mimi muongo, sasa ukweli upo wapi kama unao ww uweke hapa.Usimsemee marehemu uwongo.
Ukweli ni kua diamond hajawaona watoto wake kitambo. Na pia Ivan alikua karibu na watoto wakeHaya basi mimi muongo, sasa ukweli upo wapi kama unao ww uweke hapa.