University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
Hahahhahaahhahahahaah sasa ujinga wenu mkifirisika ndo mnakumbuka kurudi na kutulia na wake zenuMimi sioni kama kaharibu familia yake, kuna watu wapo kwenye ndoa wana watoto nje wanaishia kutoa hela za malezi na kuwaangalia mara moja moja.
Mwanaume kuchepuka ndio asili yetu kuanzia enzi za kina Daudi na Selemani, ila ktk maisha yako yote usiombee uchepuke na mwanamke anaejua kupuliza au kutumia tunguli. Kuna mzee kastaafu lecturer miaka mitatu iliyopita kapukutishwa hela zote karudi kwa mke wake na kabakia na korodani zake.
Kabisaaa [emoji12]
Sikufikii wewe. Kama ile habari ya jana
Umejuaje prove it?Ukweli ni kua diamond hajawaona watoto wake kitambo. Na pia Ivan alikua karibu na watoto wake
Mrs Van, isome hii post.Waja mna mambo sana...hivi mnajuaje kama Diamond hawahudumii watoto wake?Nyumba wanayoishi South ni ya nani?Insurance za matibabu alizokata ni za kina nani?
Mnajua Diamond aliyokuwa anayapitia wakati yuko na Zari?au mnajudge mambo kupitia social media?
Tabia halisi ya Zari mnaifahamu?Dai alimkosea Zari ila mjue kuna mambo pia nyuma ya Zari ambayo Dai aliamua kukausha,ndo maana hata kwenye birthday ya Zari Dai alimwambia nakuheshimu kwa kunipa watoto wawili ndo maana sijawahi kusema upande wangu sababu za kuachana kwetu (Sorry kwa Gazeti)
Usiombee ya kukute, mzee na PhD yake ya Mechanical yupo home anasubiria pension tu mwisho wa mwezi.Hahahhahaahhahahahaah sasa ujinga wenu mkifirisika ndo mnakumbuka kurudi na kutulia na wake zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuhudumia mtoto ni sawa na mtoto kuonana na baba yake ana kwa ana? Hayo mengine ya nyuma ya pazia hayatuhusu issue ni mzazi kua karibu na mtoto wake.Waja mna mambo sana...hivi mnajuaje kama Diamond hawahudumii watoto wake?Nyumba wanayoishi South ni ya nani?Insurance za matibabu alizokata ni za kina nani?
Mnajua Diamond aliyokuwa anayapitia wakati yuko na Zari?au mnajudge mambo kupitia social media?
Tabia halisi ya Zari mnaifahamu?Dai alimkosea Zari ila mjue kuna mambo pia nyuma ya Zari ambayo Dai aliamua kukausha,ndo maana hata kwenye birthday ya Zari Dai alimwambia nakuheshimu kwa kunipa watoto wawili ndo maana sijawahi kusema upande wangu sababu za kuachana kwetu (Sorry kwa Gazeti)
Diamond mwenyewe hajalelewa na baba! Maisha ndo haya hayaKwani hao ni wakwanza kukosa malezi ya baba na mama?
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Sasa my dear waja mnatakaje?mnajuaje kama hawako karibu?Hivi kuhudumia mtoto ni sawa na mtoto kuonana na baba yake ana kwa ana? Hayo mengine ya nyuma ya pazia hayatuhusu issue ni mzazi kua karibu na mtoto wake.
Ndio namshangaa jamaa hapo juu...[emoji3]
Pesa sio kila kitu. Uwepo wa mzazi around ndio kila kitu. Acha kutetea kila jambo linalomuhusu diamond