What goes around comes around.
Nimeangalia hii picha kwa kweli nimijikuta natafakari mambo mengi sana....anyway hivi ilikuaje Chibu akakubali kuingizwa King na Manung'ayembe hadi kusababisha hawa watoto wakose malezi ya baba na Mama kwa pamoja....?
kila mwanaume anachepuka but ila kuchepuka hadi kukubali kuharibu familia yako ni upuuzi sana.View attachment 1014240
AHAHAHAHAHHAHAHAHHA!Chinga mdogo wangu!hakuna watu wenye dharau kama wanawake hapa duniani haswaa wakiwa na vijisentii...usiombe ukutane na type hizoo utaacha mpk suruali...yaani acha kabisaa...muacheni diamond hamjui nini kilimpelekea kufanya hvyooo...wanawake tunajijua tabia zetu haswaa tukiwa na kijipato kidogo cha kupata shilling 300,300!!!
Kaa tu kimya dogo!!tuone hivi hivi siyee!
Sent using Jamii Forums mobile app