SIELEWI KWANINI KANINUNIA

SIELEWI KWANINI KANINUNIA

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Nilikutana nae kwenye semina fulani mjini, tukiwa tumeketi sambamba kwenye chumba cha semina na hatukua tuna fahamiana kabla.

Maudhui ya semina husika yalianza kufanya tuanze kuzungumza, kulizana mambo mbalimbali na kufahamiana zaidi, na hatimae tukabadilishana hata namba za simu kwa mawasiliano zaidi..

Hakuna tulichokua tumekubaliana kabisa, hususani kuhusu mahusiano ya kimapenzi. Nilimuheshimu mno na kumchukulia kama rafiki wa kike tu, na mwana semina mwenzangu, japo kiukweli anashawishi mno kuangukia dhambini nae, anaita kichizi. Kajaa vizuri sana hapo kati, lakini pia ana sura, ana energy na anavutia sana..

Kilicho nishangaza zaidi,
Ni kitendo chake cha kunikuta nimeketi na mwana semina mwingine wa kike sehemu ya kupata kinywaji na kunifokea kwa ukali huyu ni nani, kiasi kwamba aliekua ameketi nami kabla, kutimua mbio na kutokomea kusikojulikana akihisi huyu mwanasemina anaefoka ni mke wangu, kumbe siyo..

Eti sasahivi kaninunia..

Ladies please,
semeni mapema jamani ikiwa umemuelewa gentleman fulani. Wivu na fujo vyanini na wakati hatujakubaliana chochote kuhusu mahusiano?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
M

Ni kitendo chake cha kunikuta nimeketi na mwana semina mwingine wa kike sehemu ya kupata kinywaji na kunifokea kwa ukali huyu ni nani, kiasi kwamba aliekua ameketi nami kabla, kutimua mbio na kutokomea kusikojulikana akihisi ni huyu mwanasemina ni mke wangu kumbe siyo.

Eti sasahivi kaninunia..

Ladies please,
semeni mapema jamani ikiwa umemuelewa gentleman fulani. Wivu na fujo vyanini na wakati hatujakubaliana chochote kuhusu mahusiano?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Muite geto mpelekee moto.....problem solved....
 
Nilikutana nae kwenye semina fulani mjini, tukiwa tumeketi sambamba kwenye chumba cha semina na hatukua tuna fahamiana kabla.

Maudhui ya semina husika yalianza kufanya tuanze kuzungumza, kulizana mambo mbalimbali na kufahamiana zaidi, na hatimae tukabadilishana hata namba za simu kwa mawasiliano zaidi..

Hakuna tulichokua tumekubaliana kabisa, hususani kuhusu mahusiano ya kimapenzi. Nilimuheshimu mno na kumchukulia kama rafiki wa kike tu, na mwana semina mwenzangu, japo kiukweli anashawishi mno kuangukia dhambini nae, anaita kichizi. Kajaa vizuri sana hapo kati, lakini pia ana sura, ana energy na anavutia sana..

Kilicho nishangaza zaidi,
Ni kitendo chake cha kunikuta nimeketi na mwana semina mwingine wa kike sehemu ya kupata kinywaji na kunifokea kwa ukali huyu ni nani, kiasi kwamba aliekua ameketi nami kabla, kutimua mbio na kutokomea kusikojulikana akihisi huyu mwanasemina anaefoka ni mke wangu, kumbe siyo..

Eti sasahivi kaninunia..

Ladies please,
semeni mapema jamani ikiwa umemuelewa gentleman fulani. Wivu na fujo vyanini na wakati hatujakubaliana chochote kuhusu mahusiano?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Shida hako unachukua mashangazi ya chama yana njaa sana hayo.
 
Back
Top Bottom