Sielewi kwanini Maalim Seif ameenda Chato kuonana na Rais Magufuli

Sielewi kwanini Maalim Seif ameenda Chato kuonana na Rais Magufuli

Status
Not open for further replies.
Uzalendo mbele kwa maslahi ya taifa letu. Maalim Seif ameona mbali sana
images (10).jpeg
images (11).jpeg

2-950x743.jpg

Retired hujaelewa nini sasa?

Mungu ibariki Tanzania
 
Sikupata jibu na niliwaza sana kilichompeleka Maalim Seif Ikulu kukutana na Magufuli ni nini?...
waliokufa zanzibar kwaajili ya kuleta fujo kwenye uchaguzi kwaajili ya maalim seif hao ni sawa na WATU WALIOJINYONGA ingekuwa wako hai wangehukumiwa kwa kujaribu kujiua wenyewe.
 
Katika Siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu.

Pia shabiki wa siasa hatakiwi kukaza shingo sana... ataumia huku akiacha wanasiasa wakigonga mvinyo!
Hebu tembeleeni hapa muone umuhimu wa maridhiano abayohata Mbowe alitamani yawepo huku bara, lakini Magu kashupaa.

Alilo lifanya maalim ni kutokanana Moyo safi wa Dr.Hussen Mwinyi wa kupenda maelewano na watesi wake kisiasa.

mgufuli kawaita ili kujifunza ni vipi wanaweza kuishi mtu na hasimu yake.

Baada ya kupewa darasa kabakia kusifu na kiasi fulani kujiona yeye ni mtu wa ajabu kwa kushindwa kuwa na roho ya upole kwa wapinzani awake.

Magufuli kapewa Darasa na Maalim Seif .
 
Sikupata jibu na niliwaza sana kilichompeleka Maalim Seif Ikulu kukutana na Magufuli ni nini?....
Baada ya Waziri wa Outside wa China kuja na Kichanjio cha Deportivo la Corona ilibidi wale VIP's wote na Wake zao wakaipate kutokea Lake Zone.
 
Maalim ni makamu wa Rais, yupo serikalini... mwacheni atekeleze majukumu ya kiofisi.
Kwanini aliwasaliti na kuwaingiza watu kwenye vifo wakati akjua ataungana na magu kuliponya Taifa?
 
Sikupata jibu na niliwaza sana kilichompeleka Maalim Seif Ikulu kukutana na Magufuli ni nini?..
Mpaka 2025 Maalim atakuwa above 80 years sidhani kama atakuwa na nguvu tena ya kusimama jukwaani kwani hata sasa ameshajichokea anatembea kama amekata center bolt. Ila amewauza kinyama Wapemba sidhani hata akijikongoja kugombea kama kuna mtu atamsikiliza na kumpa kura yake.
 
Uko sahihi kabisa, he is a spent force... alijua hatagombea tena akaona ngoj apate vinofu vya mwisho..
 
Kama huelewi sababu ya yeye kwenda sio tatizo lako, au Makamu wa Rais anawajibika kuripoti kwako majukumu yake?
 
Uko sahihi kabisa, he is a spent force... alijua hatagombea tena akaona ngoj apate vinofu vya mwisho..
Kuna muda lazima uangalie maasha yako mwenyewe,kama huku bara Lissu alivyohitisha maandamano kila mtu aliangalia masilahi ya familia yake mtu akaona anaweza kwenda akatiwa ulemavu halafu akashndwa kuitunza familia yake hasara kwake.
 
Sikupata jibu na niliwaza sana kilichompeleka Maalim Seif Ikulu kukutana na Magufuli ni nini?...
Tutajua mengi kati yao hawa jamaa wawili yaani Maalif Self na Prof Lipumba - nani nani kaisaliti CUF na kuigeuzia shingo kibra
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom