Sielewi Nini kinaendelea kwa huyu mwanamke wiki hii

Shituka mkuu piga chini hyo mama j utapata wakati mgumu mwanzoni lakini badae utazoea
 
Natumai umekutana na manzi Fulani hv,kama ndio huyo basi afadhari Yako wewe Una biashara Yako mie nilikutana naye nikakaa naye siku 3 Ijumaa,jmos na jipi kwenda Job J3 nikapigwa Warning letter Moja nzito Sana.
Sasa sikuwaza kabisa kuwa yeye anahusika..Nimerud tena kwake tokea Alhamis mpaka jmos kwenda kazini J3 nakutana na kikao Cha Boss!!Ninavyoulizwa hata sivielewi nikaambiwa nenda kaandike Utetezi kabla sijapeleka Sec anakuja ananiambia unaitwa tena nafika pale nakutana na Termination letter.

Imefika jioni ananiandikia baby pole na KAZI upo wapi nimekumiss Sana
 
Kuna wakati nilidhani upo na huyo mwanamke kwa sababu ya ngekewa, ana ngekewa. Trend ikiendelea hivi lazima utamuacha tu.
 
Sijajua yeye unamuhusisha vipi na marejesho yako wakati unazo biashara zako...au ulikuwa unatumia nyota yake... kusafiria
 
Jumanne tarehe 7 ni nane nane.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Ni kwamba kila nikitoka kukutana nae huwa napata Sana pesa, wiki hii mambo yamebadilika[emoji29]
Kumbe mnasafiria nyota za Watu eeehh
Si alienda kwao huyooo,kashaanza kukuroga broooo
 
Yaaani hadi mziki nimezima ili ni-concentrate kwenye kusoma uzi bado sijaelewa unaongelea nin au ni kwasababu sina mpenzi ndo maana mambo ya mapenzi siyaelewi wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…