Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Shituka mkuu piga chini hyo mama j utapata wakati mgumu mwanzoni lakini badae utazoea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pia.Duh nmesoma mara mbili sijaelewa .
Itakua alilenga iman za vibuyu mkuu ,ngoja tumsubiri mshana[emoji4][emoji4]Nami
pia.
Mrejesho wa pesa na huyo bibie wapi na wapi.
Ana amini kuwa mkewe ndiyo bahati yake, maana akilala naye kesho yake anakutana na ngekewa, sasa wikiend mbili sasa analala naye na hapati kitu. 😄😄Mtoa uzi,hueleweki.Labda urudie tena kutuweka sawa.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Usiseme hivo bhana [emoji4]
weka namba mkuu
[emoji23]Wakija wa rejesho wape mkanda mzima mkuu usiwafiche kitu,waambie wakuvumilie kidogo maana unahisi manzi yako ana gundu,nadhani watakuelewa Mzee baba.
The sameDuh nmesoma mara mbili sijaelewa .
Jumanne tarehe 7 ni nane nane.Wiki 2 zilopita.
Tuligombana, kanuna na kila mtu akabaki kivyake na maisha yake, Sasa tarehe ya rejesho ilivokaribia nikaona Bora nintafute turudiane, kweli jumatano tumerudiana.
Siku ya Ijumaa tumekutana na jumamosi namshkuru Mungu mambo yameenda Safi na mwanga nikaanza kuuona. Ikabd nifanye mpango Jumapili pia tukakutane, ili angalau wiki hii nihakikishe naianza kwa kishindo. Kweli tumekutana na baada ya hapo nmerudi kwangu.
Ila cha kushangaza Kulipokucha jumatatu, siku iliniendea vibaya sana tofauti na miaka yote, nikaona sio kesi, labda ni kwa sababu siku nyng zilipita hatujakutana sababu ya mgogoro, Nikajipa moyo mambo yatakaa sawa tu.
Jumanne pia
Nikajitahidi tumekutana, ila jumatano nayo ikaamka imeenda vibaya sana, mauzo hayaeleweki kabisa. Nikabaki na maswali kibao kichwani ila nikajipa moyo Tena, Huenda sijapata mda wa kutosha wa kukaa nae.
Sasa Jana usiku
Ikabidi nisingizie msiba, nmeenda kwake na nmekesha nae kabisa mpaka alfajiri, Leo nmeamkia kwake nmeunganisha moja kwa moja hadi dukani kwangu.
Ila sahivi mpaka saa 8 hii mchana nnapoandika Uzi huu bado sielewi nini kinaendelea kuhusu huyu mwanamke, yaani bora hata siku 2 hizi zilizopita nilizokua nalaumu.
Kinachoniwazisha zaidi, ni kwamba tarehe ya rejesho nayo iko karibu Sana, Ni jumanne ya wiki ijayo ya tar 7.
Yaani Hapa hadi kichwa kinauma,
Maana nina siku 2 TU (kesho na jumatatu) za kupambania rejesho na bado makusanyo yangu hayafikishi 50% ya rejesho lote nnalodaiwa bank mwezi huu[emoji29].
😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah
Kumbe mnasafiria nyota za Watu eeehhNi kwamba kila nikitoka kukutana nae huwa napata Sana pesa, wiki hii mambo yamebadilika[emoji29]
Hata me sijaelewa nin kinaongelewaDuh nmesoma mara mbili sijaelewa .