beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Sehemu nyingine ukitembeza nyama choma round za bia kwa sana kwa wapambe then ukiwa na Range Rover tatu na ndege ndogo na nyumba kadhaa basi wewe ni billionaire wakati the number one richest man in Tanzania hajathubutu kujiita billionaire
Mmmh!!!
Kwangu mimi binafsi ninaona kama nje ya Dar es Salaam ndipo kuliko na fursa zaidi kutopoza kiuchumi kuliko hapa jijini.
Kama ningelikuwa nimesoma vizuri uchumi labda hili ningelieleza kwa mapana zaidi maana naamini kuna nadharia zake.
Ugumu wa kutoboza hapa jijini huanzia pale ambapo fursa unayoiona ni lulu, wenzako wanaweza kuiiga na kukupiku kwa uwezo wa shekeli walio nao.
Sehemu nyingine ukitembeza nyama choma round za bia kwa sana kwa wapambe then ukiwa na Range Rover tatu na ndege ndogo na nyumba kadhaa basi wewe ni billionaire wakati the number one richest man in Tanzania hajathubutu kujiita billionaire
...wamasai wa arusha wanabeba maboksi ya pesa kwenda benki,mfano ukienda pale crdb wana sehemu kuna bulk cash,watu wanadeposit tsh mil 200, mia tatu kwa foleni, ukija dar unakuta eti mil50 mwenye duka anasafirisha kwa escott,
watu wana overdraft za b2 ,5 mpaka kumi wakati dar izo ni kwa ajili ya akina bakhresa!
Arusha ukiwa na lodge yenye rum 10 per day unaondoka na lak4 mpaka6, ukienda kwa manyanya pale unakuta gesti nzuriiii,chumba sh elfu20,25....mapipa pale self nyuma ya sea boys ni sh30 elfu full ac wakati kwa arusha icho chumba utapambana na mbu mpaka asubuhi. Digrii arusha kama pale ESAMI mil16 inapotea ila udsm chuo bora unasoma executive program kwa mil5???? kila mtu ana vigezo vyake vya ku evaluate maisha...dar unakuta mtu kala suti ila anaishi bunju ,mpaka jioni yuko pale city centre pale georges anavizia mzee flani agongee lift mpaka bunju,hapo sala kubwa ni mzee asimfiksi maana wazee wa mujini nao balaa tupu...arusha unakuta mhuni anauza jiwe pale mnara wa mwenge,amekula kipensi na sendo ila amepaki tx ya 2005,au range sports...wakati mission tauni akila timing anunuliwe mshikaki pale shibamu,hapo ni baada ya kufanya udalali na kuuza toyota vitz ya mteja ,hapo hapo anaulizia kwa cm kibaa chake cha tandika kimeingiza sh ngapi? dah nimeishi dar for 75% ya maisha yangu,arusha kama 5%ila naikubali arusha saaaaaana. Yani unakuta salary za vijana take hom usd 3000 na per diem kibao,nenda eac, un ,ictr...njoo dar iyo ni salary ya commissioner au jaji,nadeclare interst mimi ni lwayer na accountant ila unakuta departmental leader kama pale crdb mtu anakula take home 4m na housing loan ya 80m,watu wanakimbilia kimara kununua ploti4m wanaenda bar kujisifia nina kiwanja sasa nasimamisha ghorofa mbili,,,uliza value ya ploti na value ya ardhi pamoja na mjengo!!!!!
Lori la mchanga tan12 arusha sh laki2 ulizia dar tegeta kwenda kinyerezi sh 120...sijui mwenzangu ubora wa maisha mnaupimaje???nenda aggrey pale kariakoo uone vijana wanaojisifia kwa mafanikio ni wale wenye vibanda vya simu kuuza housing na motherboard toka china,mtaji sh mil4 mkopo wa azania au akiba,kila siku afisa mikopo anaranda na makufuri .....dar darslama.
Dar ndo kwetu ila dah naadmire maendeleo ya arusha kuliko dar,,,watu wanaponda eti kuwa na chopa na kuchoma mbuzi waili watatu na vogue nje si ishu wakati dar vogue tu wanaendesha watu kichele,unaweza kukaa magomeni mataa masaa3 haijakatiza vogue, ni gx90,100,e100 navitz,arusha kila mtaa utaona range,Q7, nk. Acheni dharau jamani, nani dar anaenda kwenye shughuli za biashara zake na chopa kama si kumsikia kwenye redio bob sambeke anaenda shambani na chopa?dar ni wazungu au basi helikopta ya jeshi la kova...kuna siku kijihelikopta cha souther sun kimetua pale juu ya jengo,yani city centre ilizizima kupiga picha na kuload internet wakti hapa arusha watu wameegesha chopa,asubuhi wanaenda mashambani na jioni kurudi pale arusha port kuegesha, na hamna mwenye time...
Dar is good,kwa hasa civilized life, but for success si kivile. Uku arusha kukutana na escalade za mwale,ranges na nk ni kawaida si kama dar mpaka watu wanapiga picha. Ivi dar kama si akina masawe, msofe,nk wenye mafanikio ya utata , nani unamadmire anakula bata na ana investment za uakika,utasikia mengi,bahkresa,mohamed...wote hawa wapo mpaka mikoani,ww unataka dar tu.....utasubiri sana....
Lara1,Karibu arusha a land of suceess and bata kwa sana...uje ule mbuzi,samaki na kuku,si wale wa mlimani city wa plastic na wafugwao kwenye mabwawa bandia ya mbweni.!
Nawatakia usiku mwema bandugu.
...wamasai wa arusha wanabeba maboksi ya pesa kwenda benki,mfano ukienda pale crdb wana sehemu kuna bulk cash,watu wanadeposit tsh mil 200, mia tatu kwa foleni, ukija dar unakuta eti mil50 mwenye duka anasafirisha kwa escott,alaf eti mimi siko benki za wabongo nina akauti barclays na std chatered,ila deposit zake za mwezi ukimtuma statement ni robo page,anazunguka city centre na magazeti...
Kuna siku niko mishe zangu naenda bunju shamba,nkaingia sheri pale bamaga, mhudumu akaja ..niweke kiasi gani??nkamwambia mpaka ijae...akaguna ila akajaza, badae akashindwa kuvumilia,,eti bosi unaenda safari nini?nkamuuliza kwa nini>??eti mhh full tenki uku nadra sana/kawida ni buku 5, 20 au wakijipinda ni half tank//loading!nkajiuliza arusha watu wanavijivisima na na mapipa,...vijana kawaida tunatega pale town kucheza na madili,yasipotiki,gari inalala pale mango garden alaf njemba inakula public,,,wanajisemesha dah foleni siiwezi hii,aaah aahaah! Yani dar wakikata mafuta siku 3 gari zinakata wese barabarani, mara foleni ya madumu sheli,aah ahaa aah....wakikata wiki???
watu wana overdraft za b2 ,5 mpaka kumi wakati dar izo ni kwa ajili ya akina bakhresa!
Arusha ukiwa na lodge yenye rum 10 per day unaondoka na lak4 mpaka6, ukienda kwa manyanya pale unakuta gesti nzuriiii,chumba sh elfu20,25....mapipa pale self nyuma ya sea boys ni sh30 elfu full ac wakati kwa arusha icho chumba utapambana na mbu mpaka asubuhi. Digrii arusha kama pale ESAMI mil16 inapotea ila udsm chuo bora unasoma executive program kwa mil5???? kila mtu ana vigezo vyake vya ku evaluate maisha...dar unakuta mtu kala suti ila anaishi bunju ,mpaka jioni yuko pale city centre pale georges anavizia mzee flani agongee lift mpaka bunju,hapo sala kubwa ni mzee asimfiksi maana wazee wa mujini nao balaa tupu...arusha unakuta mhuni anauza jiwe pale mnara wa mwenge,amekula kipensi na sendo ila amepaki tx ya 2005,au range sports...wakati mission tauni akila timing anunuliwe mshikaki pale shibamu,hapo ni baada ya kufanya udalali na kuuza toyota vitz ya mteja ,hapo hapo anaulizia kwa cm kibaa chake cha tandika kimeingiza sh ngapi? dah nimeishi dar for 75% ya maisha yangu,arusha kama 5%ila naikubali arusha saaaaaana. Yani unakuta salary za vijana take hom usd 3000 na per diem kibao,nenda eac, un ,ictr...njoo dar iyo ni salary ya commissioner au jaji,nadeclare interst mimi ni lawyer na accountant ila unakuta departmental leader kama pale crdb mtu anakula take home 4m na housing loan ya 80m,uku govt salay za ajabu na kukimbiza na taakukuru eti hakima kapewa lak3???nenda pale exim viajan wamepaki ma bmw ,alaf teller/cashier...watu wanakimbilia kimara kununua ploti4m wanaenda bar kujisifia nina kiwanja sasa nasimamisha ghorofa mbili,,,uliza value ya ploti na value ya ardhi pamoja na mjengo!!!!!
Lori la mchanga tan12 arusha sh laki2 ulizia dar tegeta kwenda kinyerezi sh 120...sijui mwenzangu ubora wa maisha mnaupimaje???nenda aggrey pale kariakoo uone vijana wanaojisifia kwa mafanikio ni wale wenye vibanda vya simu kuuza housing na motherboard toka china,mtaji sh mil4 mkopo wa azania au akiba,kila siku afisa mikopo anaranda na makufuri .....dar darslama.
Dar ndo kwetu ila dah naadmire maendeleo ya arusha kuliko dar,,,watu wanaponda eti kuwa na chopa na kuchoma mbuzi waili watatu na vogue nje si ishu wakati dar vogue tu wanaendesha watu kichele,unaweza kukaa magomeni mataa masaa3 haijakatiza vogue, ni gx90,100,e100 navitz,arusha kila mtaa utaona range,Q7, nk. Acheni dharau jamani, nani dar anaenda kwenye shughuli za biashara zake na chopa kama si kumsikia kwenye redio bob sambeke anaenda shambani na chopa?dar ni wazungu au basi helikopta ya jeshi la kova...kuna siku kijihelikopta cha souther sun kimetua pale juu ya jengo,yani city centre ilizizima kupiga picha na kuload internet wakti hapa arusha watu wameegesha chopa,asubuhi wanaenda mashambani na jioni kurudi pale arusha port kuegesha, na hamna mwenye time...
Dar is good,kwa hasa civilized life, but for success si kivile. Uku arusha kukutana na escalade za mwale,ranges na nk ni kawaida si kama dar mpaka watu wanapiga picha. Ivi dar kama si akina masawe, msofe,nk wenye mafanikio ya utata , nani unamadmire anakula bata na ana investment za uakika,utasikia mengi,bahkresa,mohamed...wote hawa wapo mpaka mikoani,ww unataka dar tu.....utasubiri sana....
Lara1,Karibu arusha a land of suceess and bata kwa sana...uje ule mbuzi,samaki na kuku,si wale wa mlimani city wa plastic na wafugwao kwenye mabwawa bandia ya mbweni.!
Nawatakia usiku mwema bandugu.
Hahahaaaaaaaaaaa! Thinking is freee!!!!!!!!! Mie hapa sina cha usomi, wala hata 100 sina mission town tu. Wala sipendi pesa! Bt it doesnt mean nayosema ni ya uongo ama hayapo!!!!!!!!!
Afu natoa stori za watu wenye pesa upate INSPIRATION, ningeandika jirani yangu afisa TRA kanikopa misimbazi miwili ungeendelea kusoma hii habari? LOL! Wote tuna shida sema tunajifunza kwa waliotoboa!
BTW mi sina nyodo yoyote coz sina hata 100 bank! Nimechokaaaa!
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Jamani HUU NI MTAZAMO WANGU BINAFSI LARA 1!! (Hii sio dini na mimi sio nabiii so sitegemei wote mseme AMINA kuitikia pasi kupinga hoja yangu! You may agree to disagree! Ila jamani tutunze staha na ustaarabu wetu! Tuwe wavumilivu na ubishi uwe wa hoja tu si kutukanana! Aksanteni.
BACK TO TOPIC
Naomba nieleweke sisemi mikoani ni kubaya ama hapafai kuishi all i am saying is the future is brighter in Daresalaam, kuliko mikoani. Kwa mambo mengi Jiji la Wazaramo limetishaaaa!!! Siropoki tu ama kuleta ushabiki nina grounds zangu za kutoa hii hoja binafsi, kwanini huning'oi mjini hata kwa greda!
1. Mkoani watu wamerizika ila Dsm chochote utakacho achieve WE BADO SANAAAAAAA! People are moving mountains. Mkoani mtu akiwa na nyumba 2, magari 2, anaheshimika si kitoto na anahesabika kati ya wenye uwezo. Ila mjini unaweza kuwa hata na commercial buildings 3 ila kwenye list hata hujanukia kuwamo! Kabisaaaa! So huku DSM haurelax, ni mpambano 24/7. Ofisini ukianza ujenzi wa tubanda twako, utasikia flani ana ghorofa 2, na amenza kujenga commercial! Unabakia Whaaaaaaaat? Kumbe mimi bado sanaa eeeh? Unakaza buti. Ukijikamua kupeleka mtoto IST, unasikia jirani yako kapeleka U.K au U.S Orange Country huko. WITH THE CITY IT IS NEVER ENOUGH!!! Ila mkoani watu wanakusifia unajiona umefikaaa, ukistuka ushazeeka. Kama unabisha jiulize ulivotoka jijini kwenda shamba watu uliowaacha wako wapi na wewe uko wapi?
2.Mji COMPETITION IS TOUGH! DEADLY! Ukiwa mkoani una C.P.A wewe bonge ya bosiii! Mkuu wa branch. Mjini C.P.A kama 30 hivi ofisi moja, na wenzio sio tu kuwa ni C.P.A bali hadi CIMA, CFA, ACCA, MBA, hadi Cerificate za law humo humo, degree 3! Yaani usifikiri na hivo vyeti wamepozi wanakungoja uwafikie? Nooooooo! Wanaongeza continuously, graduation baada ya graduation. Yaani hadi ushinde competition ulimi unaning'inia hoi bin taaban. Automatically unajikuta una aspirations kubwaa, sky is the limit, unajiburuzaje usiachwe nyuma? In the end unajikut na wewe ni somebody! Ila mkoani CPA kila mtu anakuita Bosi, basi na wewe unajiona bosi kweli kweli unabweteka. Matokea yake ulioanza nao unasikia wako UN! IMF! US EMBASY! Unabakia nilisomaga nao wale! You remain wondering how you became second rated in life since mligraduate wote UDSM, BCOM, Accounting 2004!!!!!! Tena wewe ulikuwa kipanga wao!
3. Life is damn expensive!!!!! Money is never enough! Akili inakuchemkaa utapataje hela zaidi! Comforts zinageuka luxury matokeo yake suala la kusaka pesa unaligeuza Vita vyako binafsi! Huku umeajiriwa, utawaza biashara, utawaza kila kitu ilimradi jiji lisikushinde. In the end you become a master wa kusaka mahela hadi unatoboa! I got a friend ni Monitoring and Evaluation Manager wa NGO kubwa tu, hapo hapo ana ki NGO chake, hapo hapo Analima kilimo mkoa huko, hapo hapo ana Kampuni, na juzi kapata U Country director NGO ingine anahama kule! Kote huko kupambana na bills na kuokota kila senti. We mkoani ukiwa kwenye NGO kubwa tu, hio pesa life ilivo affordable utapanga li mansion na kuwa mtu wa kuheshimika hadi basi!
4. Fursa hapa mjini ni nyingi mnoooo! Sijui hata nianzie wapi kwenye hili! I have a cousin, aligraduate 2010 ila pasi zake hazikuwa nzuri so akapewa hela na uncle mkopo wa 5m atafute ustaarabu, sio mtu na degree kula kulala tu. Akafungua ki pub tu local na fremu ya pembeni akawa anauza pombe reja reja wine, wisky na vingine. Mungu kambarikia the business is now BIG! Kalipa 5m za watu na naprofit ya laki 6 daily akitoa cost zote duka limekuwa la jumla sio rejareja tena. Na pub ameitanua imekuwa bar. Wala hatafuti kazi tena! Kazi gani utalipwa laki 6/day? Mjini ukiwa na ubongo kidogo tu, hakuna linaloshindikana.
5. Ukiwa mjini unakuwa na VISON KUBWA! BIG DREAMS! BIG AMBITIONS! BIG ASPIRATIONS! SKY IS THE LIMIT! Yaani people always look at the BIGGER PICTURE! Kwa jinsi mambo yanavoenda race automatically you think of next century like tomorrow! Dogo tu nilimuuliza ukiwa mkubwa utajenga nyumba? Akanijibu nani ajenge nyumba? sijengi nyumba najenga GHOROFA!!!!!! And he is like 8yrs! Small Boy Big thoughts!!!! (Zikiwa kubwa sanaa ndo wanauza sembe na meno ya tembo!) Jirani yangu alikuwa FN manager multinational moja, mshahara 4m na nini, akaacha baada ya miaka kadhaa tu! Kila mtu anamwambia kijana umebugi men! Kuresign ni blander kubwa uliyoifanya! Akawaambia No! Mi sikwenda pale like niwe nimeajiriwa pale like forever! Mpaka nizeeke! Mi nilienda kutafuta MTAJI! Baaaaaaaass! Nyie 3M mnaiona ya maana sanaa bt sio, kwa mwaka its approximately 36m, of wish i wanna make that per month or 2. Hio 36, ukitoa expenses na mda ninaoshinda ofisini, saving ni marginal sanaa! Siku hizi ana yard ya magari, analima huko mkoani, na ku import mavitu toka china! Ametajirika 20 times QUICKER, kuliko alivokuwa multinational. And he is only 34. HE SAW THE BIGGER PICTURE!!!!!!!!!!!!
Bottom line is kama unaweza rudi DSM ucheze na BIG BOYS in the CHAMPIONS LEAGUE!!! ILa kama imekubidi kukaa mkoani usiwaze kimkoa mkoa! THINK BIG ki darisalma darisalama! Ukijihisi umetoka kimaisha njoo town upimishane na uliowaacha ubavu! Itakusaidia kutokurizika na kubakia nyumaaa!
Having said that may i also stress that MAISHA POPOTE! WEWE TU NA AKILI YAKO! ni msemo wenye nguvu ila hufifizwa na mazingira na attitude ya watu waliokuzunguka!
Karibuni kwa HOJA ZENU!