Siendi Mkoani Ng'ooo!! Dar es salaam is the future! Mikoani ni didimizo la uchumi binafsi

HAHAHAAAAAAAAAAA! (Nimecheka kwa herufi kubwa! Take note!) JOTO HASIRAAAAAA Limekukaba kooni! We lima tu huko kwenye kata maana hata wilayani unakusikia, sie tutanunua bana!

DONT HATE THE PLAYER! HATE THE GAME!!!!!!!!

Tatizo mtu kamaliza six kapigana weeeeeeeeee kapata chumba Hall 3, kamaliza na kaapasekandi kake, katongozwa na kimei,
basi akisikia mkoa, ooooohhhh ndani ya masaa 24, njoo Namanyere wewe hakuna nondo wala kutu!
 
.......... Akafungua ki pub tu local na fremu ya pembeni akawa anauza pombe reja reja wine, wisky na vingine. Mungu kambarikia the business is now BIG!.......

ho-ho-hold a minute. whaaat?

pombe? Mungu?
 
Aisee we mutu unanikunaga na hoja zako....yaani km ungejua kuwa umenimuvuzisha kule kwingine kuja kufata thread zako nahisi ungenipa tano....
 
Hiyo c biashara km biashara nyingine jamani? Au ni haram?@lara1
 
Arusha ukiwa na gorofa 2 basi we bilionea, Dar kuna watu wana magorofa 10 k.koo na sehemu zingine anaonekana wa kawaida tu
Duh!! Hivi arusha ina ukubwa gani(wa eneo)?naona watu wa dar (sijui ndiyo wanaitwa wazaramo wote?) Wameishupalia shingo kweli kweli,ila nilichoona ni kuwa hata hizo fursa zilizoko dar nyingi zinaletwa na watu kutoka mikoani na nje ya nchi,wengi waliojenga hayo magorofa sjui ya k'koo ni wahindi,wachagga,na wapemba,mdarisalaam(original)amepewa tu kivuli chini ya gorofa la mangi ili amwage michaja yake ya kichina ajikimu na maisha na kupata chenji kidogo ya bundle la internet aje Jf kuwakashfu haohao kina mangi waliompa kivuli,halafu eti dada @Lara1 mbona hujaelezea categoricaly ni wenye sifa gani tu ndiyo waje dar? Ni hao wenye Cpa,MBA,tu? Au hata wakulima wa mihogo kule namtumbo waje na majembe yao?
 
Guys wafanyabiashara wengi wa kariakoo siku mfumo wa ukusanyaji kodi ukiwa sawa wengi watatoka kwenye biashara.. Na Kuna wafanyabiashara wengi tu ndani ya mwaka huu watatoka kwenye gemu kama kweli vita ya madwa ya kulevya itapiganwa vizuri..
Vijana pamoja na kupenda fedha ila lazima tuangalie tunazipata vipi.. KAMA KWELI MTU UNATAKA KUFANYA BIASHARA HALALI IKIWA NI PAMOJA NA KULIPA TOZO ZOTE ZA SERIKALI BILA UJANJA UJANJA.. huwezi kuwa na jicho DAR NDIO KWENYEWE... Utakuwa na jicho kubwa zaidi la kuona fursa sehemu nyingine... TATIZO WENGI TUNAJIBANA KWA SOKO LA NDANI(eneo usika). ILA UKIANGALIA SOKO HATA LA NCHI JIRANI, DAR NINA UHAKIKA HALITAKUWA CHAGUO LAKO LA KWANZA
Hivi watu tunatafuta fedha ili iweje... KWA MTU KUISHI SEHEMU ZA KUJIBANA.. MABONDENI.... MAJI TATIZO... FOLENI BALAA NI MAISHA MAZURI...
JIULIZE MUWEKEZAJI ANAYETOKA ULAYA AU AMERIKA ANAKUJA KUWEKEZA TANZANIA NA MARA NYINGI SANA HATA SI MIKOANI NI WILAYANI KABISA.. kwao hakupata hizo changamoto unazozitaja dar.. AU LONDON NEW YORK NA MIJI MIKUBWA HUKO HAKUNA WATU WENYE HELA KAMA DAR...
Muhimu usijifunge kwa mawazo mgando... WATU SEHEMU FULANI KURIDHIKA HAPAKUFANYI WEWE KURIDHIKA NA WALA HAPAKUNYIMI KUZITUMIA FURSA....
 
Arusha ukiwa na gorofa 2 basi we bilionea, Dar kuna watu wana magorofa 10 k.koo na sehemu zingine anaonekana wa kawaida tu



Acha uongo mchana kweupe wewe unaijua Dar au ndo mliokuja kusoma mkaganda na ajira ya mshara kipato chini ya 2M kwa mwezi halafu unapiga kelele hapo!!!!

Unaijua Kariakoo au unapita mitaani tu kwa shughuli zako??!!!
Hebu ingia Sikukuu,mchikichi,Tandamti,Narung'ombe,Mahiwa na kwingineko ukiza bei ya nyumba ya mti na udongo halafu uje useme hapa!!!!


Ukimaliza katafute bei ya kuandaa msingi wa ghorofa nane tu then ulete majibu!!!

Huyo mtu mwenye ghorofa tatu hapo Kariakoo wanajulikana kwa majina we vitu kama sleep inn hapo upite na ujidai chizi eti ni kawaida saaaaana huku ukiona Luma Clar- Biography unashangaa!!!!!


Stereo type ya kusema Dar mtu akiwa na maghorofa kumi ni wa kawaida hayo ni maneno ya watu wasiojua pesa na hawaok katika game kwa hiyo hamjui gharama ya majengo!!!!!

Dar is just a modern city where ppo dont pay shit on no bodyz bussiness just like in any other organic state because the strings are loose and very personified!!!!!!!
 

Mazingira ya dsm yanasupport maisha ya misheni town, na ndio maana wengi wanaamini dsm ni kila kitu. Kwa mtu muadilifu ktk shughuli zake dsm si mahali salama kwake kwa asilimia kubwa. Ukifanya utafiti kidogo mtaani utaona kwamba kila mjanja mjanja anafikiria kupiga basi. Matokeo, wewe unapiga ofisini kwako na fundi mjenzi naye anakupiga wewe na mama lishe anampiga fundi kwa kumpa ugali wenye hamira, mama lishe anapigwa na muuza duka na muuza duka naye anapigwa na muuzaji wa jumla kwa kumpa kiroba chenye ujazo pungufu, chain inaendelea. Hapa wapigaji lazima waseme dar pazuri.

Fedha si kila kitu, nilikwenda Maneromango chini kabisa kule, nilifika ktk familia fulani nikaona maajabu, wazazi na watoto kiafya wako bomba sana ila nyumba yao si ya kisasa sana, wako na furaha muda mwingi. Nikaanza kufanya utafiti, nikagundua wale watu wana amani na usalama zaidi kuliko mimi,wana chakula chao, furaha na wanamshukuru Mungu kwa mafanikio yao na watoto wao wanasoma shule za kawaida. Nikajiuliza, binadamu anahitaji nini hasa?

Ukija dar, ktk watu kumi unaopishana nao njiani, saba wamenuna,wawili wanaweza wakawa kawaida,na ukiwa na bahati mbaya huyu mmoja unaweza kuona anatembea anasema peke yake. Wakati mkoani ( achia mbali majiji),watu wako vizuri zaidi kisaikolojia kuliko dar.
 

LOL - lough not loud???????are you sure na ulichokiandika??? Lara 1 acha kulumbana na huyu mtindiga he/she is not in your class..back to the point nafikiri maisha ni popote haijalishi Arusha au Dar..kuna wengine tuko huku lakini mashida ya Dar mmmmh bora mtu ukaishi mikoani tuu...maana wakati mwingine hatutaki hata kurudi huko bongo shauri ya mashida ya Dar...LOL - Laughing Out Loud!!!!!
 

he he he hii vita ya ARUSHA vs DAR....
 
mie naprefer mikoani,quality of life iko poa unaridhika hata ukiwa bwana shamba wa kijiji:love: dar vikumbo vingi foleni,maji ya shida etc
 
mie naprefer mikoani,quality of life iko poa unaridhika hata ukiwa bwana shamba wa kijiji:love: dar vikumbo vingi foleni,maji ya shida etc

Maji ya shida wapi wewe, dar watu hawategemei serikali iwaletee maji wanajifanyia drilling ndani ya mageti yao... Maisha yanaendelea.. Watu hawana muda wa kuandamana kisa maji wakati engineers wa visima wapo
 
Maji ya shida wapi wewe, dar watu hawategemei serikali iwaletee maji wanajifanyia drilling ndani ya mageti yao... Maisha yanaendelea.. Watu hawana muda wa kuandamana kisa maji wakati engineers wa visima wapo
.
mnh hayo maji ya visima ni salama hapa? au bado utahitajika kununua yale masafi ya ruvu....mmnh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…