Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Wakuu salaam,
Baada ya Uhuru Kenyatta kuapishwa leo kuwa rais wa Jamhuri ya Kenya ametangaza neema kwa raia wa Afrika Mashariki.Rais Kenyatta kasema raia wa Afrika Mashariki sasa wapo huru kwenda kuchukua fursa zilizo Kenya kama kufanya kazi,kumiliki mali,viwanja,ardhi na kubwa kuliko yote ni kuoa au kuolewa na mkenya na ukaenda zako kuishi Kenya sifa kubwa ni kuwa na kitambulisho cha taifa tu.
Sasa basi,wakuu mwenye uzoefu na totoz za Kenya naomba aniambie vipi na wao wanaendekeza njaa pesa kama hawa dada zetu wa kibongo?!ila nackia ni wababe wanatwanga sana wanaume!kwa hiyo wakuu naomba msaada wenu kabla sijaenda kukamata totoz kwa Mzee Uhuru maana kisha tupa Uhuru wana East Afrika!!