Sierra Leone: Vurugu zatokea Bungeni

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607

Chanzo cha vurugu kinatajwa kuwa ni majibizano kuhusu mjadala wa mapendekezo ya mageuzi ya uchaguzi ambapo wabunge walikuwa wakibishana suala la kuzingatia uwakilishi sawia katika uchaguzi ujao wa nchi hiyo.

Chama tawala cha Sierra Leone People’s Party kinaunga mkono mageuzi wakati chama cha upinzani cha All People’s Congress kinaamini kuwa mabadiliko yanayotaka kufanyika ni kinyume cha katiba.

================

Chaotic scenes as Sierra Leone lawmakers brawl

A session of parliament in Sierra Leone descended into a brawl during a debate to consider proportional representation in the country’s next election.

The governing Sierra Leone People’s Party supports the move, but the opposition All People’s Congress believes it would be unconstitutional.

Source: BBC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…