Sifa 10 mabasi mapya ya shabiby, Dar-Tanga

Walete na Rutu ya Tanga - Arusha
Yule Raqeeb ana uswahili mwingi
 
Mkuu route alizonazo Abood zinao wateja watakaoweza kulipa, nilishangaa kusikia kuna baadhi ya wafanyabiashara huwa wanakodi Taxi Moro to Dar
 
Wanazaa sana huko au🤣😋🤣😋
Hata sijui ila nenda fanya kama unaenda Tanga usipokutana na ugomvi wa konda na abiria wake kuhusu mtoto alipe au asilipe basi nipigwe ban ya wiki mbili
 
ABC ni the best kwa usafirishaji.... 🥰😜
ABC akipeleka Tanga na Arusha bus zake atawaua wote hao ,jamaa ni kweli msafilishaji mzuri sana na kawateka abiria na anajua kutoa huduma nzuri sana kwa abiria.
 
namba 10 ni kila kitu kama kwenye ndege au nusu nusu tu pamoja na kwamba upo ardhini.
 
Kapicha Mkuu!
 
Moderator anakuita.Hujakamilisha kutuma muamala wa tangazo/tongozo la kibiashara.
 
Tanga imevamiwa
1.Abood
2.Blatus makundi (BM)
3.Shabiby
Kuna nini Tanga mbona wote mmeanza ruti mpya
Itakuwa wale magwiji wao wa ndumba washakufa maana mgeni asingeweza weka gari Tanga ni kama ilivyo kusini ni kwa watu wa kusini tu utakiwi mchaga,msukuma,mnyaki kutia gari kule haitoboi
 
SGR haiathiri biashara za mabus ndugu kuipata hio SGR unabook Siku nne kabla wakati mabus muda wowote tu unapata.
Ukipata safari ya dharura huwezi pata ticket ya SGR
 
Hii ruti fupi sana naona magari ya kichina yanaifurahia sana
Hata ndefu mchina anapiga ni wewe mchina kotekote anacheza.
Body mchina engine scania hata Congo unatoboa.
Ni wewe tu ukienda kiwandani unawaambia wakuwekee engine ipi za kichina au za ulaya mchina hashindwi kitu mbele ya pesa
 
Hata ndefu mchina anapiga ni wewe mchina kotekote anacheza.
Body mchina engine scania hata Congo unatoboa.
Ni wewe tu ukienda kiwandani unawaambia wakuwekee engine ipi za kichina au za ulaya mchina hashindwi kitu mbele ya pesa
Hizi yutong au zongtong unaweza pachika injini ya scania ,inawezekana ilo? Je Yutonga anakubali uachr kutumia injini yakr uchague ya kampuni nyingine,au mtengnezaji wa mabodi ya yutong hatrngenezi na injini yake? Naomba ufafanuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…