The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Kampuni zote za mabus iwe ni irzar, Marco polo, yutong nk hawaundi injini bali utumia za kampuni zao.Hizi yutong au zongtong unaweza pachika injini ya scania ,inawezekana ilo? Je Yutonga anakubali uachr kutumia injini yakr uchague ya kampuni nyingine,au mtengnezaji wa mabodi ya yutong hatrngenezi na injini yake? Naomba ufafanuzi.
Siku uwe na Ad-hoc unatakiw uingie Dodoma alaf upande zile gari za fasta fasta.. (Juu kwa juu) utanielewa..Duh hizo mambo bado zipo?
Ongeza Newforce, sgr imewakimbiza.Tanga imevamiwa
1.Abood
2.Blatus makundi (BM)
3.Shabiby
Kuna nini Tanga mbona wote mmeanza ruti mpya
200m tu. Na unapewa kwa mkopo ukitaka. Kila ndege abiria 230Bei gani niagize mbili
SGR imewakimbiza Dar-Moro-Dom. Why safari ya 3hrs inilaze njiani 9hrs?Tanga imevamiwa
1.Abood
2.Blatus makundi (BM)
3.Shabiby
Kuna nini Tanga mbona wote mmeanza ruti mpya
Sio kama unavyowaza kuipata SGR itakulazimu ukate tiketi siku 5 nyuma,huwezi pata tiketi ya leo leo,pengije SGR waongeze ruti lasivyo bado sio tishio kwa wenye mabus.SGR imewakimbiza Dar-Moro-Dom. Why safari ya 3hrs inilaze njiani 9hrs?