Ramsy Dalai Lama
Senior Member
- Apr 5, 2021
- 156
- 554
Ngoja nikuambie kitu?, Unafikiri kuna umri fulani ambapo maturity huanza? Labda mpaka uwe na miaka 20, 40 ama 60!?. Hapana, katika experience yangu binafsi, nimeona kwamba umri hauna uhusiano wowote na mtu kuwa matured. Nimekutana na vijana ambao wako matured zaidi ya umri wao, na nimewaona watu wanye umri mkubwa lakin wanatenda mambo ya kitoto.
Sina uhakika kuwa tunaweza kuwa watu wazima na tukaonesha maturity katika kila hali inayojidhihirisha kwetu kuwa tumekuwaa matured kwa sababu tunakua tunajifunza kila wakati kama wanadamu, na nina hakika kwamba sisi sote kwa namna moja ama nyingine tumeonyesha tabia ya kitoto angalau mara moja katika utu uzima wetu.
Kwa hivyo swali ni: Je! ni sifa gani ama tabia zinazoonyesha maturity?
1. Kwanza kabisa ni kujitambua wewe ni nani na nafasi yako katika jamii. Na kutambua kwamba una mengi ya kujifuza.
2. Kusikiliza zaidi kuliko kuzungumza.
3. Kuwa na ufahamu wa kujali wengine pasi ya kuwa mbinafsi, ama kujifikiria wewe tu na kutojali wengine.
4. Kutochukulia kila kitu kibinafsi ( I mean taking things personally) na kukasirika kwa urahisi, au kupenda sana kujitetea ili usionekane hukosei, ukikosea you want to prove wrong, au kutoa visingizio(making excuse a lot).
5. Kuwa na shukrani na kuridhika, sio kulalamika lalamika hovyo Kama mtoto.
6. Kuchukua jukumu la kutunza mwili wako na afya yako kwa ujumla na kujali hisia zako mwenyewe, sio kutegemea wengine "kukujali wewe tu" au kuweka lawama kwa wengine kuhusu hisia zako especially your happiness. Just take care your feeling
7. Kuwa na msamaha na huruma kwako na kwa watu wengine. Just let things go..usiwe na kinyongo na pia kujaribu kuwa na huruma kwa viumbe wote.
8. Kuwa mtulivu na mwenye amani katika maisha yako no matter what!, kutokuwa na tamaa, au kuhangaika na vitu visivyo vya msingi, au kuwa irrational.
9. Kutokua mbishi bishi ama kupinga pinga kila kitu kwa kupindisha ukweli. Ya paswa kua muwazi/mkweli na kutopenda ku control kila kitu ama watu, au being unreasonable.
10. Kujisaidia kwanza wewe mwenyewe, sio shida kidogo basi unarukia watu wakupe msaada, hii unakua unajizaririsha na utaonekana ombaomba halafu utazoeleka kisha utakua husaidiwi tena.
11. Kusaidia watu hata kama hakuna kitu utanufaika au expect something in return...wewe saidia kwa kujua umesaidia tu. Pia utapata baraka kwa Mungu
12. Kuheshimu maoni, imani na mtindo wa maisha ya mtu mwingine bila kuanza kuhukumu. Au bila kusisitiza kuwa wewe upo sawa ama kumdharau mwingine, au kutumia lugha chafu au vurugu eti kisa wewe upo sahihi.
13. Ku share pale unapopata bahati ya maisha mazuri ama kipato kizuri na watu wengine. Usitake wewe tu uwe juu pasi kusaidia wengine
14. Kutomrudishia mtu ubaya ama kumtukana pale yeye anapofanya hivyo...just forgive and walk away, muache na ubaya wake, Mungu ndie atakae muhukumu.
15. Kufikiri kabla ya kutenda na kujaribu kupima matokeo ya mawazo yako, sio kila linalokujia kichwani basi umeropoka ama unatenda hii itakufanya ujute siku moja.
16. Kutia moyo mtu na si kumkatisha tamaa.
17. Kufurahia mafanikio ya mtu mwingine, lakin si kuonyesha wivu au upinzani. Mafanikio ya mwingine yatakiwa kuwa inspirational kwako lakin sio ile " kwan ndo nini Mimi ninacho bora zaidi yake au mbona fulan ni bora zaidi yake", kwa kweli hizi ni tabia za kichawi na kitoto niamini mimi.
18. Kujua daima kuna nafasi ya "kukua" na "kuboresha" na hata kufikia kuhitaji "msaada" itakapo hitajika ili tu kufikia malengo yako. Usikubali uwe vilevile ama ukwamishwe na kitu.
19. Kuwa na unyenyekevu, heshima na kuonyesha nyuso ya tabasamu kwa watu. Lakin sio kuonyesha kisirani kwa wengine. Even if something wrong katika maisha yako basi...rejea namba 6
20. Kutambua yale ambayo hayafanyi kazi katika maisha yako na kufanya juhudi kufanya kitu tofauti ama kubadilisha ama kama ni mahusiano basi achana nayo lakin sio kung'ang'ania tu. Halafu unaishia kulalamika kila siku na kujipa stress zisizo za lazima.
21. kuridhika na kidogo kwanza Kisha kujipanga kupata kikubwa.
22. Kujikubali kwa vyovyote ulivyo na kujipenda na kujiamini, bila kuhitaji mtu mwingine "kukuambia wewe upo sawa" then ndo uhisi upo sawa. Hii itakusaidia kutokua insecure mbele za watu.
23. Kusimamia haki kwa ajili yako na wengine na kuchagua kufanya jambo sahihi.
24. Kujitolea kwa ajili ya manufaa ya wengine bila kinyongo.
25. Kutoshikamana au kuthamini sana mali (yan kuwa materialistic) au kujisifu kwa mali unazomiliki.
Thanks for reading, 🙏🏽 have wonderful day.