Sifa ama tabia zinazoonesha maturity (ukomavu wa akili)

Hivi kwanini bongo tunajuaga kuongea au kuandika lakini vitendo vinakuaga zero ? Sijui hii tabia tulifundishwa na nani? Anaejua anifahamishe tafadhali
 
hapa umenena vyema sana...maana huwa najipimaga tuu mimi mwenyewe na umri wangu huu ety kabisa na akili hzi nilizonazo niitwe baba fulani!?...huwa najikataa kabisa[emoji23]cz naona kabisa sitoshei kuwa baba wa familia....[emoji23]
[emoji23]
Ha ha ha ha

Badilika sasa
 
Nimeipenda namba 16
 
hapa umenena vyema sana...maana huwa najipimaga tuu mimi mwenyewe na umri wangu huu ety kabisa na akili hzi nilizonazo niitwe baba fulani!?...huwa najikataa kabisa[emoji23]cz naona kabisa sitoshei kuwa baba wa familia....[emoji23]
[emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]utajua hujui
 
Umri Hauna uhusiano WOWOTE na kuwa matured.

Hiyo statement hiyo.

Mwisho mtaulizwa elimu zenu halafu marks mlizokuwa mnapata shuleni/vyuoni.

Maana statement zenu zingatia shaka.
 
Umri Hauna uhusiano WOWOTE na kuwa matured.

Hiyo statement hiyo.

Mwisho mtaulizwa elimu zenu halafu marks mlizokuwa mnapata shuleni/vyuoni.

Maana statement zenu zingatia shaka.
Shaka kwa upande upi mkuu?
 
Mtu mzima/ anaanza kuwa mtu mzima pale anapo kujitambua .. haijalishi ana umri gani.. nzuri sana hii MKUU
 
Hakika, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
kama ni zote kwa mkupuo, basi 'malaika' wote wako matured
 
Uzi Wangu Bora Kwa mwaka huu ila chakushangaza hautakuwa maarufu kama wa kula tunda kimasihara
 
Uzi bora kusoma mwaka huu kongole mleta mada ,muhimu hapa kujifunza na kufanyia siyo kuishia kusoma tu .
 
Kila mtu akisikiliza Zaid kuliko kuzungumza , mzungumzaj ata kua Nan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…