Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usishangszwe na hizo trend bro,vita haipiganiwi mtandaoni,Miaka 1960-1980 jeshi la Tanzania lilikua ni tishio Africa.
Kwa East Africa ndyo lilikua kinara kwa ubora na kuogopeka kijeshi?
Vita ya tz na Ug ililipa headline nyingine achilia mbali kushiri ukombozi katka nchi zingine.
Lakin sasa zama zimebadilika
Uganda ya sasa si ile
Kenya nayo imepiga hatua
Kuibuka kwa Ugaidi nchi ya Msumbiji nilitegemea Budget ya jeshi iongezeke mara dufu ikifuatiwa na ulinzi wa kisasa ikiwa ni pamoja na kununuliwa kwa vifaa vya kisasa kutoka Israel, US na Russia.
Cha ajabu nchi kama Rwanda ndyo ina trendi kwene kudhibiti hao magaidi ambao hawako hata karibu nayo.
Rwanda imekua kinara wa Ukanda wa maziwa makuu, kanchi kadogo Rwanda kamekua n tishio kwa intelligensia na Kijeshi.
Kamechukua Title ya Tanzania ya nyerere miaka ile
Je, sisi tunaenda taaratibu kuwa NEXT DRC?
Mimi
Jiwekuu770
Usishangszwe na hizo trend bro,vita haipiganiwi mtandaoni,
Rwanda hsipo Msumbiji kupambana na magaidi,wapo pale kuwalinda wazungu Ili waibe rasilimali.
Na Anayegharamia Hilo jeshi la Rwanda kuwa pale ni wazungu,Rwanda Haina uchumi wa kuweza kuweka kikosi msumbiji kwa muda wote huo.
Sasa hv UK inaipa Rwanda pesa Ili ipokee wakimbizi wanaovuka mediterania kwenda ulaya,Rwanda haiwapokei kwa sababu ina "roho"nzuri,hapo ni mkwanja unahusika tu.Na siku si nyingi Mkutano wa common wealth utafanyika Rwanda.
Wanaopambana na hao magaidi,ni jwtz,kimya kimya
Mara kumi ya wewe muelewa kinachoendelea kuliko ujinga wa mtoa maada
Weeee kuna VITA alafu kuna UGAIDI, maswala ya Ugaidi hatupaswi kuingilia kabsa na hakuna nchi yenye uwezo wa kupambana na ugaidi labda kutibu majeruhi wa ugaidi
Udhaifu wa Tanzania hapa uko vipi ndugu?mbona sioni tukisumbuliwa na ugaidi kama ilivyo kwa nchi za wenzetuAcha ufwala ww…Kama nchi dhaifu ni dhaifu !
Nchi zote zinabalaa la ugaidi lakini unatofautiana
Marekani- gaidi mmoja mmoja kamwe hakiweiz kikundi cha kigaidi kama ilivo Al shababu kuishi hada masaa 24. Ugaidi wa huko labda kila gaidi afanye lake ubebe risasi ukauwe watu
Hii inamaana ulinzi n mkubwa
pia nchi kama : Uturuki,India,china,russia n zingine zilizoendelea
Halafu kuna kundi la nchi zenye mifumo dhaifu
Somalia
Nigeria
DRC
Mozambique
Tanzania
Hapo ndo utakutana na ugaidi wa vikundi vinaishi ndani ya nchi kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uliyeandika uzi utakuta unaishi kwa mume wa dada yako umeshakula na kutazama tamthilia ITV ukaamua uandike huu ushuzi. Uwe na adabu kwa jeshi linalohakikisha unakuwa salama hapo kwa shemeji yako.
Acha ufwala ww…Kama nchi dhaifu ni dhaifu !
Nchi zote zinabalaa la ugaidi lakini unatofautiana
Marekani- gaidi mmoja mmoja kamwe hakiweiz kikundi cha kigaidi kama ilivo Al shababu kuishi hada masaa 24. Ugaidi wa huko labda kila gaidi afanye lake ubebe risasi ukauwe watu
Hii inamaana ulinzi n mkubwa
pia nchi kama : Uturuki,India,china,russia n zingine zilizoendelea
Halafu kuna kundi la nchi zenye mifumo dhaifu
Somalia
Nigeria
DRC
Mozambique
Tanzania
Hapo ndo utakutana na ugaidi wa vikundi vinaishi ndani ya nchi kabisa
Aina za maneno...
Kiunganishi.. mfano (na)
Baba na mama
Msumbiji na Rwanda
Udhaifu wa Tanzania hapa uko vipi ndugu?mbona sioni tukisumbuliwa na ugaidi kama ilivyo kwa nchi za wenzetu