Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo mkuu, mimi nilishawahi kuifanya, nilikuwa na jamaa, mapenzi yakaisha, ikawa tukienda beach, nikiona mwanamke mzuri namlazimisha akaongee nae, au nikiona mwanamke kajazia namwambia amuangalie na kuanza kumsifia huyo mwanamke, alikuwa sio mtu wa ma disco, kwahiyo nilikuwa namlazimisha aende disco.Namba 7 tu ndo sijakubaliana nayo!
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, anaweza akufanyie hayo yote lakini ushindwe kumuacha.
Mwingine ukitokea tu ananuna hahahhaaa.....au ukimpigia simu anakwambia 'ntakumpigia sasahivi',ndo imetoka hiyoo..kisha baadae mpka unampigia wewe kisha anakwambia 'nilisahau bahati mbaya jamani'.. Balaaa!
Nadhani sheik wangu hizo sifa zote zinamgusa mkeo, sio kwa ujumla wake!