Mwanamke kumtongoza mwanaume ni kitu cha kawaida sana hasa kama kampenda. Hawana tabia ya kujishaua kitu akikipenda.
mh!nina miaka 14 nikiishi mji huu lakini nahisi huu uzi ni MAKE UP tu.
Kuna Mnyakyusa mweupe?
kwenye wikipedia moja ya sifa kubwa ya wanyakyusa ni usafi. sasa sifa ya uchafu sijui umeitoa wapi? acha kuposts kwa emotions, tafuta facts.Naona hii inajibu ile ya Wanawake wa Kinyakyusa ni wachafu..