Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

Mwanamke kumtongoza mwanaume ni kitu cha kawaida sana hasa kama kampenda. Hawana tabia ya kujishaua kitu akikipenda.
 
nilifika mbeya watu ni weupe usoni tu huko chini sasa
 
mh!nina miaka 14 nikiishi mji huu lakini nahisi huu uzi ni MAKE UP tu.

Tatzo hujui wanyakyusa wanaishi wapi..kama ulikuwa hujui basi that is it. Sifa nyingine ni japo ni wakarimu lakini hawapendi kujishusha/kazarauliwa..nikiwemo mimi!
 
Mkimaliza muangalie na kabila jingine naona tunarudi tulikotoka
 
Hatupendi kujinyima tunakula vizuri na tuna miili yenye afya njema hakuna mwenye afya ya mgogoro, misosi ndo nyumbani kwake kwa mnyakyusa. Ardhi ya Mbeya inakubali kwa kila mazao ya chakula na mifugo. Kitimoto kwa sana
View attachment 169443 rooster[1].jpgCow_female_black_white.jpg120px-Brahman2644.JPG
 
Umesahau kwamba wanyakyusa ni wakabila wakubwa na wapenda sifa. Ukimpa wadhifa Mnyakyusa mmoja utakuta wako mia kwenye hiyo taasisi. Pia wanapenda sana kujisifia kama wale wamkoa ule ambao Idd Amin alitaka kuupora. HAYA, JITA,KEREWE,NYAKYUSA NA KURYA, wanapenda sana kujitapa na kujisifia. Pia ni tabia nzuri maana hawataki kuacha.
 
Hiyo ya kupeana kazi ndo mbaya sana. Unakuta mpaka ofisini kilugha tu ni sawa tu na wahaya.
 
Naona hii inajibu ile ya Wanawake wa Kinyakyusa ni wachafu..
kwenye wikipedia moja ya sifa kubwa ya wanyakyusa ni usafi. sasa sifa ya uchafu sijui umeitoa wapi? acha kuposts kwa emotions, tafuta facts.
 
Back
Top Bottom