Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

Mkuu mi nimezaa na mtoto wa mchungaji wa MOROVIAN nkimtaja jina tu ushanibamba make watu wa huko munafahamiana
Sativa ehehehe
Sasa ile barabara inayo katisha kanisa la Roma shuka nayo chini kabisa hadi Kyela Day ndiyo home hapo!
Mitaa hiyo ni changudoaz sio mke material

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye kushirikiana wako vizuri sana, pia wanajua kunyenyekea.
 
Babu umesahau kitu wanapiga hao na wana manguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wapole, lakini ukiwaudhi wanakuwa wakali.....! Na unapotambua kosa lako na kuomba msamaha, wanaweza kulia wao, na mara nyingi ndio ishara ya kusamehewa, na wanapokusamehe wanakusamehe na hawatarejea kosa hilo tena unapofanya kosa lingine mbeleni....
Wanawake wengi wanakuwa na miili kiasi fulani, na unapokuwa naye kwenye faragha ya wakubwa huwa siyo waongeaji sana, na ishara yao ya kukubaliana na hoja yako ni kukaa kimya. Hapa usipowaelewa vyema unaweza kuhisi unabaka, lakini ndivyo walivyo...
 
Wabaguzi,wambea wa chini chini,wajuaji wao tu,hawajui kuvaa japo wasafi hata kama ana shati au gauni moja
 
Umesahau moja mkuu tukionana sisi ata kama ni koo tofauti sisi ni ndugu iwe mashuleni vyuoni na makazini proud to be mnyakyusa πŸ€“πŸ€—πŸ€—πŸ€—
 
π•Žπ•’π•Ÿπ•ͺπ•’π•œπ•ͺ𝕦𝕀𝕒 𝕙𝕒π•₯π•¦π•‘π•–π•Ÿπ•• zarau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…