Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

Mkuu mi nimezaa na mtoto wa mchungaji wa MOROVIAN nkimtaja jina tu ushanibamba make watu wa huko munafahamiana
Sativa ehehehe
Sasa ile barabara inayo katisha kanisa la Roma shuka nayo chini kabisa hadi Kyela Day ndiyo home hapo!
Mitaa hiyo ni changudoaz sio mke material

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1)WANAAMINI KABILA LAO NDIO BORA KULIKO YOTE
Wanaamini kabila lao ni bora kuliko yote na ni lazima kila Mtanzania ajue kabila hilo na kama kuna mtu ambaye halijui basi mtu huyo ni jeuri/kiburi pia ana dharau.

2)WANAJIAMINI SANA
Ni watu wanaojiamini sana hususani sehemu za kazi,wakipewa jukumu fulani kulifanya wanafanya kwa kijiamini sana na huwa hawapendi kuingiliwa 'as long as umempa afanye kitu fulani wanaamini kuwa umemchagua/umemteua yeye sababu unaamini kuwa anaweza kufanya kitu hicho so asiingiliwe mpaka amalize.

3)WANAPENDA ATTENTION
Ni watu wanaopenda sana kuonekana kwa kile wanachokifanya,yaani wanapenda kuonekana na kuthaminiwa kwa kile wanachokifanya na sio zaidi ya hapo tofauti na makabila mengine.

4)NI WACHAPA KAZI
Ni watu wanaojituma sana katika kufanya kazi,mara zote huwa hawapendi kuonekana kazi fulani imewashinda kufanya kwasababu wao wanaamini kuwa kushindwa kuperform vizuri kitu ulichoaminiwa ni AIBU na UDHAIFU mkubwa sana katika maisha.

5)WAKARIMU
Ni watu walioumbwa na karima ya hali ya juu,yaani wanapokea mtu yoyote hata kama hawajui alikotokea ndio kitu kilisababisha mpaka kukawa na matukio ya ajabu ajabu sababu ukarimu huo watu wenye nia mbaya waliutumia katika kufanyia maovu yao.

6)WANASUBIRA
Ni watu ambao hawana papara,huwa hawapendi kukurupuka kwa kitu chochote,wanapenda kungojea mpaka mpaka wapate hali halisi ya kitu chenyewe ndio wafanye maamuzi.

SIFA ZA ZIADA

a)UTANASHATI
UTANASHATi na usafi ni sifa nyingine muhimu kwa kabila hii. Waweza fika kijijini ukakuta bibi na kijumba chake lakn vyombo vyake viko safi kabisa. Wawezakupataka chungu anachopikia usipate masizi.

b)HAKI NA SHERIA
Wanyakyusa kwa malezi yao WANAPENDA HAKI NA KUFUATA SHERIA.

C)UMOJA
UMOJA ni sifa nyingine ya msingi: Si msibani tu Wanyakyusa wakoPAMOJA sana kwa kila kitu. Hata mgonjwa akisafirishwa hadi kwa mganga au hospitali kwa kushirikiana (palutato) wanashirikiana pamoja, Uzalishaji mali ndiyo usiseme- Walilima/wanalima kwa pamoja (INDUULA/INDIMYA), na ng'ombe walichunga/wanachunga pamoja (ULUTIIMO),mambo ya furaha kama harusi ndo usiseme,yaani wanahakikisha kwa umoja wao sherehe inafana.

===================


Babu umesahau kitu wanapiga hao na wana manguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wapole, lakini ukiwaudhi wanakuwa wakali.....! Na unapotambua kosa lako na kuomba msamaha, wanaweza kulia wao, na mara nyingi ndio ishara ya kusamehewa, na wanapokusamehe wanakusamehe na hawatarejea kosa hilo tena unapofanya kosa lingine mbeleni....
Wanawake wengi wanakuwa na miili kiasi fulani, na unapokuwa naye kwenye faragha ya wakubwa huwa siyo waongeaji sana, na ishara yao ya kukubaliana na hoja yako ni kukaa kimya. Hapa usipowaelewa vyema unaweza kuhisi unabaka, lakini ndivyo walivyo...
 
Wabaguzi,wambea wa chini chini,wajuaji wao tu,hawajui kuvaa japo wasafi hata kama ana shati au gauni moja
 
Umesahau moja mkuu tukionana sisi ata kama ni koo tofauti sisi ni ndugu iwe mashuleni vyuoni na makazini proud to be mnyakyusa 🤓🤗🤗🤗
 
𝕎𝕒𝕟𝕪𝕒𝕜𝕪𝕦𝕤𝕒 𝕙𝕒𝕥𝕦𝕡𝕖𝕟𝕕 zarau
 
Back
Top Bottom