Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

Mgawanyiko wa Wanyakyusa

Wanyakyusa toka zamani walijulikana kama watu wa Konde. Wengi walikuwa kaskazini kwa ziwa Nyasa, lakini katika harakati za maisha na mabadiliko ya mazingira wengi wao wakakimbilia Mbeya mjini na sehemu nyingine.
Pamoja na hayo, hasa Wanyakyusa wapo wa aina mbili nao ni Wanyakyusa wa Tukuyu na Wanyakyusa wa Kyela.
Sifa za Wanyakyusa wa Kyela

1. Wengi si wapole mtu afanyapo kosa
2. Wacha Mungu
3. Wanajua kupenda
4. Hawapendi dharau
5. Wanapenda kujulikana (hasa kama wamesoma hadi kupata digrii n.k.)
6. Wapiganaji sana kimaisha
7. Wana wivu katika masuala ya mapenzi
8. Wanapenda haki itendeke, hawapendi ubabaishaji
9. Ni watu shupavu sana kwenye kazi za kujitolea hasa za kijamii

Sifa za Wanyakyusa wa Tukuyu

1. Wapole
2. Wacha Mungu
3. Wanajua kupenda
4. Hawapendi dharau kabisa
5. Wanajituma kwenye kazi, hasa kilimo
6. Wana wivu sana
7. Wanapenda haki itendeke na hawapendi ubabaishaji
8. Ni watu jasiri na wasioogopa vitisho
9. Ni werevu
hii imetoka wikipedia http://sw.wikipedia.org/wiki/Wanyakyusa
 
Wanyakuyusa wanajulukana sana kwa tabia ya ubaguzi na kupenda misifa..

Mbona hujaweka???

Ni watu wenye ukabila balaaa kama kuna campany ambalo gm ni mwafilombe basi wafanyakazi watakao ajiriwa ni akina mwalisu mwainjenga hata kama ni shirika la umma ukita kupata ajira hata kama wewe una wivu wa mapenzi, jiite "mwamasawe" hapo utapata ajira
 
Hata chui akionewa, basi atetewe.
Kuchuna ngozi sio sifa ya Wanyakyusa.
Kwa ujumla wanyakyusa si makatili...ni Wakarimu sana.

Wanaochuna ngozi ni kabila kutoka Wilaya ya Mbozi, wanaitwa Wanyiha, a.k.a akina "Tumgoje...Tumleshe"


Ndaga fijo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…