Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Yes wanaume wa kinyakyusa wengi Wana macho Mazur YaliyolegeaNasikia wanaume wa Kyela ni ma handsome sana eti wana macho mazuri sana..........mfano Mwakyembe, Mwamnyange, Edgar Fongo na Francis Kifukwe.....hii niliisikia pale Ngonga