Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

Mpwa naona Bujibuji kamaliza yote...hata cha kuongeza sina...
Kasahau jambo moja tu...kuwa ndio kabila linalolisha karibia nusu ya Tanzania...nani asiyekula maharage ya Mbeya na wali utokanao na mchele wa Kyela na Rujewa..?

Hapa naomba kwanza Mtambuzi aje atoe maoni huru, naona wengine wote apo juu imekuwa mwamba ngoma....

CC Bujibuji miss strong IGWE watu8
 
Last edited by a moderator:
Mpwa naona Bujibuji kamaliza yote...hata cha kuongeza sina...
Kasahau jambo moja tu...kuwa ndio kabila linalolisha karibia nusu ya Tanzania...nani asiyekula maharage ya Mbeya na wali utokanao na mchele wa Kyela na Rujewa..?

ohooo......hii sifa hii...subiri
 
Umesahau jingine, hawapendi umbea umbea au kuweka mambo moyoni/ kinyongo. Ukimuambia kitu kuhusu mtu ...akiwepo mhusika anaweza kumsema hapo hapo iwapo alikosea
 
Ipenenga

DSC00079.JPG

DSC03286.JPG
 
Back
Top Bottom