Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

Ipenenga

DSC00079.JPG

Daaaah inanikumbusha mbali sana.....

DSC03286.JPG

Daaaah
 
1)WANAAMINI
KABILA LAO NDIO BORA KULIKO YOTE

Wanaamini kabila lao ni bora kuliko yote na ni lazima
kila Mtanzania ajue kabila hilo na kama kuna mtu ambaye halijui basi mtu
huyo ni jeuri/kiburi pia ana dharau.

2)WANAJIAMINI SANA
Ni watu wanaojiamini sana hususani sehemu za
kazi,wakipewa jukumu fulani kulifanya wanafanya kwa kijiamini sana na
huwa hawapendi kuingiliwa 'as long as umempa afanye kitu fulani
wanaamini kuwa umemchagua/umemteua yeye sababu unaamini kuwa anaweza
kufanya kitu hicho so asiingiliwe mpaka amalize.

3)WANAPENDA ATTENTION
Ni watu wanaopenda sana kuonekana kwa kile
wanachokifanya,yaani wanapenda kuonekana na kuthaminiwa kwa kile
wanachokifanya na sio zaidi ya hapo tofauti na makabila mengine.

4)NI WACHAPA KAZI
Ni watu wanaojituma sana katika kufanya kazi,mara
zote huwa hawapendi kuonekana kazi fulani imewashinda kufanya kwasababu
wao wanaamini kuwa kushindwa kuperform vizuri kitu ulichoaminiwa ni AIBU
na UDHAIFU mkubwa sana katika maisha.

5)WAKARIMU
Ni watu walioumbwa na karima ya hali ya juu,yaani
wanapokea mtu yoyote hata kama hawajui alikotokea ndio kitu
kilisababisha mpaka kukawa na matukio ya ajabu ajabu sababu ukarimu huo
watu wenye nia mbaya waliutumia katika kufanyia maovu yao.

6)WANASUBIRA
Ni watu ambao hawana papara,huwa hawapendi
kukurupuka kwa kitu chochote,wanapenda kungojea mpaka mpaka wapate hali
halisi ya kitu chenyewe ndio wafanye maamuzi.

SIFA ZA ZIADA
a)UTANASHATI
UTANASHATi na usafi ni sifa nyingine muhimu kwa kabila
hii. Waweza fika kijijini ukakuta bibi na kijumba chake lakn vyombo
vyake viko safi kabisa. Wawezakupataka chungu anachopikia usipate
masizi

b)HAKI NA SHERIA
Wanyakyusa kwa malezi yao WANAPENDA HAKI NA KUFUATA
SHERIA.

C)UMOJA
UMOJA ni sifa nyingine ya msingi: Si msibani tu Wanyakyusa
wakoPAMOJA sana kwa kila kitu. Hata mgonjwa akisafirishwa hadi kwa
mganga au hospitali kwa kushirikiana (palutato) wanashirikiana pamoja,
Uzalishaji mali ndiyo usiseme- Walilima/wanalima kwa pamoja
(INDUULA/INDIMYA), na ng'ombe walichunga/wanachunga pamoja
(ULUTIIMO),mambo ya furaha kama harusi ndo usiseme,yaani wanahakikisha
kwa umoja wao sherehe inafana.

ndaga fijho..!
 
1)WANAAMINI KABILA LAO NDIO BORA KULIKO YOTE
Wanaamini kabila lao ni bora kuliko yote na ni lazima kila Mtanzania ajue kabila hilo na kama kuna mtu ambaye halijui basi mtu huyo ni jeuri/kiburi pia ana dharau.
2)WANAJIAMINI SANA
Ni watu wanaojiamini sana hususani sehemu za kazi,wakipewa jukumu fulani kulifanya wanafanya kwa kijiamini sana na huwa hawapendi kuingiliwa 'as long as umempa afanye kitu fulani wanaamini kuwa umemchagua/umemteua yeye sababu unaamini kuwa anaweza kufanya kitu hicho so asiingiliwe mpaka amalize.

3)WANAPENDA ATTENTION
Ni watu wanaopenda sana kuonekana kwa kile wanachokifanya,yaani wanapenda kuonekana na kuthaminiwa kwa kile wanachokifanya na sio zaidi ya hapo tofauti na makabila mengine.
4)NI WACHAPA KAZI
Ni watu wanaojituma sana katika kufanya kazi,mara zote huwa hawapendi kuonekana kazi fulani imewashinda kufanya kwasababu wao wanaamini kuwa kushindwa kuperform vizuri kitu ulichoaminiwa ni AIBU na UDHAIFU mkubwa sana katika maisha.
5)WAKARIMU
Ni watu walioumbwa na karima ya hali ya juu,yaani wanapokea mtu yoyote hata kama hawajui alikotokea ndio kitu kilisababisha mpaka kukawa na matukio ya ajabu ajabu sababu ukarimu huo watu wenye nia mbaya waliutumia katika kufanyia maovu yao.
6)WANASUBIRA
Ni watu ambao hawana papara,huwa hawapendi kukurupuka kwa kitu chochote,wanapenda kungojea mpaka mpaka wapate hali halisi ya kitu chenyewe ndio wafanye maamuzi.

SIFA ZA ZIADA
a)UTANASHATI
UTANASHATi na usafi ni sifa nyingine muhimu kwa kabila hii. Waweza fika kijijini ukakuta bibi na kijumba chake lakn vyombo vyake viko safi kabisa. Wawezakupataka chungu anachopikia usipate masizi
b)HAKI NA SHERIA
Wanyakyusa kwa malezi yao WANAPENDA HAKI NA KUFUATA SHERIA.
C)UMOJA
UMOJA ni sifa nyingine ya msingi: Si msibani tu Wanyakyusa wakoPAMOJA sana kwa kila kitu. Hata mgonjwa akisafirishwa hadi kwa mganga au hospitali kwa kushirikiana (palutato) wanashirikiana pamoja, Uzalishaji mali ndiyo usiseme- Walilima/wanalima kwa pamoja (INDUULA/INDIMYA), na ng'ombe walichunga/wanachunga pamoja (ULUTIIMO),mambo ya furaha kama harusi ndo usiseme,yaani wanahakikisha kwa umoja wao sherehe inafana.
Wapo wale wa Kyela..... sifa zaao ntazitaja kesho
 
hahahaha najivunia kuwa mnyakyusa na naamini ni kabila kubwa kuliko yote ila sio bora w2 wote ni sawa jamani hahahahah
 
BUBUji mi nimezaliwa Meta na kukulia huko,kiasi kikubwa umepatia ila sifa ya kugegedana umesahau. Unakumbuka hiya maneno ya kanga..'bora msafwa mchafu kuliko mnyakyusa malaya'?

Hizi kanga zilitaka kupiganisha watu enz hizooo💬
 
Last edited by a moderator:
Babuji umeongea kitu, pia wana misiba mingi kuliko muda wa kufanya kazi na usipoenda msibani hata kama ni wa mtoto wa shangazi yake na mjomba wa binamu aliyemzaa bibi mzaa sijui nani ni faini. Kwenye misiba sasa ni fair play hakuna kunyimana maana wao wanasema wanakua wanafarijiana. Wana dharau sana watu wengine wasio wanyakyusa Hii ipo sana kwa wanyakyusa wa kyela ambapo wamefikia hatua watoto wa kike wa kyela hawawezi kuzaa na mgeni ww kama ni mgeni una demu wa kyela utaishia kula raha tu ila suala la mimba halipo. Ni wabishi sana na hawakubali kushindwa bila kusahau wanaume wa kinyakyusa wengi wao ni wavivu wanategemea wanawake kuwatunza hii imepelekea wanawake kuwa wachapakazi kuliko wanaume na ndio wenye control ya nyumba huku. Hapa nazungumzia wanyakyusa halisi sio hawa wanyakyusa wa darisalama
 
Umesahau moja kuu. Majina yao yanaanzia na A halafu sir name inakuwa MWA.
Mfano Asajile Mwaijumba

Nazjaz umesema sir name znaanzia na nini? unapajua kikota wewe?
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji umesahau hili: wadada wa kinyakyusa wapole sana. ulichopewa na Mungu usiwanyime wenzio! "ukiona nipo kimya ujue nimekubali we niangusyage tu.
 
Last edited by a moderator:
Wafupi.
Wanawake wanamaumbo nabaya.
Weusi

Mnyakyusa mfupi?

Mhhhhh!Hakuna wafupi kwa wana "Ngonde" wala "abhamwamba"wala "abhamfyamba"!Kuna aina hizo juu za wanyakyusa na hamna wafupi!Dada zetu nyuma wamejaliwa ahahaha
 
Mnyakyusa mfupi?

Mhhhhh!Hakuna wafupi kwa wana "Ngonde" wala "abhamwamba"wala "abhamfyamba"!Kuna aina hizo juu za wanyakyusa na hamna wafupi!Dada zetu nyuma wamejaliwa ahahaha

Malafyale unadhani tupo Mwakaleli hapa? wamejaliwa na upole pia
 
Last edited by a moderator:
Wapo wale wa Kyela..... sifa zaao ntazitaja kesho

Mkuu sisi wa Kyela hatuna tofauti na sifa tajwa hapo juu labda niongeze sifa hizi 2 zaidi

1.Dada zetu wana makalio makubwa sana lkn kitandani "hupaki gari" kama tu video ya demu wa Ngassa

2.Sisi wanaume tuna mitarimbo mikubwa lkn up u u z i wenu wa tohara hatuuhitaji Kyela!

Wanyakyusa wa Kyela hatuna nongwa na mtu mweeee!
 
Malafyale unadhani tupo Mwakaleli hapa? wamejaliwa na upole pia

Madada zetu hawana nongwa na mtu lkn lzm wakujue unapotoka;Kwa mgeni atakusumbua siku angalau 2 ndiyo aje gheto kwako ahahaha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom