[emoji124][emoji40][emoji124][emoji40]
Sent using [emoji106]
pic pleaseHizi Ni baadhi tu ya sifa za muonekano wa nje wa idara pendwa afrika.
1. Utulivu hakuna kelele.
2. Hakuna movement za kutoka na kuingia.
3.Kuta ndefu au hejezi zilizokatwa vizuri.
4.Tujamaa twa ajabuajabu tunaokaa mapokezi.
5.Minarà ya mawasiliano.
6.Makazi ya hadhi kule tunapaita uzunguni.
Waweza ongezea uzijuazo.....