Sifa kuu za Ofisi za Usalama (Afrika)

Sifa kuu za Ofisi za Usalama (Afrika)

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Hizi Ni baadhi tu ya sifa za muonekano wa nje wa idara pendwa afrika.

1. Utulivu hakuna kelele.
2. Hakuna movement za kutoka na kuingia.
3.Kuta ndefu au hejezi zilizokatwa vizuri.
4.Tujamaa twa ajabuajabu tunaokaa mapokezi.
5.Minarà ya mawasiliano.
6.Makazi ya hadhi kule tunapaita uzunguni.

Waweza ongezea uzijuazo.....
 
[emoji124][emoji40][emoji124][emoji40]

Sent using [emoji106]
 
Sasa pale makao makuu ndio umepajua juzi?
 
Mkuu umezitembelea kama sio kupita kwa nje pale oysterbay ukaona uje na uzi
 
Hizi Ni baadhi tu ya sifa za muonekano wa nje wa idara pendwa afrika.

1. Utulivu hakuna kelele.
2. Hakuna movement za kutoka na kuingia.
3.Kuta ndefu au hejezi zilizokatwa vizuri.
4.Tujamaa twa ajabuajabu tunaokaa mapokezi.
5.Minarà ya mawasiliano.
6.Makazi ya hadhi kule tunapaita uzunguni.

Waweza ongezea uzijuazo.....
pic please
 
Back
Top Bottom