Sifa kuu za wana JamiiForums

Sifa kuu za wana JamiiForums

Asilimia kubwa;
-wanaishi kwao /kwa ndugu/kwa shemeji zao
-Wanadhani wanajua kila kitu
-Wanajidai kuwa na pesa nyingi
-wanadhani wanajua maisha
-Ni keyboard worriors🤔🤣
-Wanajidai wanajua dili zote za mjini
-Wanajidai watoto wa kishua
-ukiuliza kuhusu gari wanakimbilia google kucopy na kuja na hayo majibu hapa as if ni ya kwao🥱
- 'Magari' yao ni ya kuanzia 40m (hasa wale wasiokuwa nayo)🤣
-Wanaliowa mishahara mikubwa sana
-business idea zao ni za mitaji mikubwa (wanaamini sana kwenye kushuka kuliko kupanda🤔).
***Nimesema asilimia kubwa /wengi wao..
 
Kwenye jzmii zetu hizi za kimaskini ni KOSA
1.Kusema una gari hata kama unalo
2.kusema Una degree hata kama unayo
3.Kusema Umekaa Ulaya hata kama umekaa huko
4.Kusema unakaa Dar hata kama unakaa Dar
5...
6...
7.Kusema Una hela hata kama unazo

Kwenye jamii hizi inabidi ulie njaa tu ndio mtaenda sawa.
Huwa hakuna haja ya kutangaza lolote..maana hata kama unavyo vyote hivyo, wengine haviwasaidii kitu na haikusaidii kitu ukijitangaza, zaidi ya kuboost fragile ego kwa dakika chache tu.
 
Masikin kumbe mimi bado nipo fesibuku maana hizo sifa zote sina hata moja.

Sina hela naishi kwa kutegemea ndugu

Sijawai kufika dar zaid ya kupaona kwenye tv.

Gari hata kujifunza naogopa

Ulaya napasikia na kupaona kwenye movies na taarifa za habari

University sijawai ata kushika geti lake tu, nipo na kidiploma changu tu.

Sura nilirithi sura ya babu,
 
Ni Kupungukiwa Akili Kukubwa Sana Ndugu Zangu
By Jiwe
 
Mimi ni form 4 sina hela sina gari, nina kajumba kadogo tu, maisha ya kawaida tu, sina kazi ya maana. Nimejaaliwa nguvu za kiume tu, hilo sina shaka nalo.
 
Huwa hakuna haja ya kutangaza lolote..maana hata kama unavyo vyote hivyo, wengine haviwasaidii kitu na haikusaidii kitu ukijitangaza, zaidi ya kuboost fragile ego kwa dakika chache tu.
Hakuna mtu huwa anafungua uzi ili atangaze kuwa ana gari ila inatokea tu katika mijadala au kuchangia hoja mtu anajikuta anasema directly au indirectly kuwa ana gari, kwa hiyo mtu ashindwe kuchangia mada kisa ataonekana anajitangaza kuwa ana nyumba, gari, pesa n.k?
 
Kama watu bado wanafikiri kuwa na gari, nyumba na hela ni jambo baya basi kuna shida kwenye akili za watu.
Gari siku hizi hata 4m unapata used.
Mavyuo yamejaa kila kona hadi mtandaoni halafu iwe ajabu mtu kusema ana digrii!
Mtoa mada is very primitive man bado ana mawazo ya miaka ya 90 ya kunusa matairi ya gari na kugusa magari ili kujua yakoje.
 
Huwa hakuna haja ya kutangaza lolote..maana hata kama unavyo vyote hivyo, wengine haviwasaidii kitu na haikusaidii kitu ukijitangaza, zaidi ya kuboost fragile ego kwa dakika chache tu.
Kutangaza ndio tafsiri ya kundi hilo
 
1.wote wana magari.
2.Wote wamefika university
3.wote wamekaa ulaya.
4.Wote wanaishi dar.
5.Wote ni piskali mademu
6. Wote ni hendome wanaume.
7. Wote wana hela.

Hao ndio wana jf ongezea yakwako.
Mwana JF hujui kuandika Hand some?!
 
Back
Top Bottom