Sifa kwenda advance

Sifa kwenda advance

jamai naomba kujua sifa ya mwanafunzi kuingia kidato cha 5 mwaka huu


  • 1. Je mwanafunzi ni wewe au siyo wewe?
  • 2. Kama ni wewe/siyo wewe umepata/amepata division ngapi ?
  • 3. Unaweza kuziweka alama zako/zake hapa ?

sifa ni nyingi sana ndiyo maana nimekuuliza maswali hayo !

snipa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom