Hawa hawana tabu kabisa ni wakarimu na ni wacha Mungu hakika! Labda kizazi hk cha leo wakazibadilishe.
Duuuh! Afadhali hamjagusa NGONI Nation! sisi ni watakatifu ile mbaya!
7.Makabila yakaayo Unguja na Pemba tuambieni habari zao
wanaume wa Kingoni ni wazinzi kiasi kwamba wengi hawataki hata kuvaa chupi
Wameru washamba, kitu kikipitwa na wakati kwao ndio kinakuwa dili.
Sijapata kusikia kabila hili... Je una maana ya Wanyiramba na Wanyaturu?
13.Warangi-Malaya,Roho mbaya,Hawapendani,Wapenda Dhuluma. 14.Wagogo-Wavivu,Wachafu,Ombaomba,Wezi,Jeuri,
Hii sio kweli, Wasukuma sio wachawi, bali wanauchukia mno uchawi mpaka mtu akituhumiwa tuu kwa uchawi, huuliwa. Kesi ya Mauji Mwanza na Shinyanga, ni uthibitisho wa chuki ya Wasukuma dhidi ya vitendo vya uchawi.
Tabia mbaya za Wasukuma, ungesema
1. kupenda wanawake weupe matokeo yake wanapenda zaidi ya mwanamke mmoja.
2. Kuwa na moyo wa upendo kupindukia, matokeo yake mioyo yao inakudondokea, hawaoni, hawasikii.
3. Wana roho nzuri kuvuka mipaka, matokeo yake ni watu wa kutumia, mwaga offa na kuhonga sana, hivyo kupata maendeleo kidogo.
4. Wanapenda sana lile somo kupindukia, matokeo yake, wewe kama ni mwanamke, ameolewa na Msukuma chapa ng'ombe, 'rigwaride rinaweza kumshinda'.
5. Wanawake wa Kisukuma, hawana wivu, hali inaopelekea kuwaachia waume zao kujivinjari watakavyo.
6. Wanapenda kufurahi sana, matokeo yake hupenda sana starehe, kujirusha, na kilaji
7. Hawajali, ni ma don't care, matokeo yake wakilewa lazima waimbe, wakiimba lazima wapige kelele ambazo hugeuka bugudha kwa wenzao.
Mazuri yao.
Ni kabila linaloongoza kwa watu wenye roho nzuri Tanzania, wanaume wanaaongoza kwa kupenda, wanajua kuoa tuu, kuacha hawajui labda waachwe wao, na wanawake wanaaoongoza kwa uvumilivu, kushindia maji, kulala njaa na huku hawana wivu, Wasukuma wanaongoza!
Angalizo: Mimi sio Msukuma!.
Hawapendi kutetereshwa!Wapemba - uvivu, ulalamishi, kupenda dezo
Makabila ya pwani huko Tanga nayo yakoje?Nimeorodhesha tabia mbalimbali za makabila yetu ili kuangalia ni wapi tumekosea na tujirekebishe ili kuondoa sura yetu mbaya machoni kwa jamii.
Hapa kila mtu akiikana nafsi yake na kuikataa tabia (inayoakisi sifa ya kabila lake) tutapata jamii safi isiyo na taswira mbaya na makabila yetu yote yataheshimika.
Nia ya bandiko hili si kutusi wala kukejeli kabila lolote ndio maana hata wewe unaruhusiwa kuweka kile unachokiona kwenye makabila mengine.
1. Wachagga-wezi
2. Wafipa-wachawi
3. Wazaramo- majungu
4. Wanyakyusa- ukabila, umalaya na kujisifu
5. Wahehe- kujinyonga
6. Wakurya- ukatili
7. Wajaluo- roho mbaya
9. Wahaya- umaalaya, kujisifu na kujisikia.
10. Wanyiha- wauaji
11. Wakinga- wachawi
12. Wasukuma - wachawi
uko sahihi kwa hilowanaume wa Kingoni ni wazinzi kiasi kwamba wengi hawataki hata kuvaa chupi
wanaume wa Kingoni ni wazinzi kiasi kwamba wengi hawataki hata kuvaa chupi