Sifa mbaya za makabila yetu

Du mkuu hapo sikubaliani na wewe, kama uchawi basi ni makabila yote tu ni wachawi, lakini mbona wajomba zangu
ni watu poa tu!
Kama ni ivyo basi. Hata kwenye umalaya sio kwa Wanyakyusa peke yao hata makabila yote yanafanya umalaya Sema makabila haya siku izi kwa umalaya hawajambo Wazaramo, wamatengo, watanga, warangi, wachaga, waarusha, wagogo, wanyiramba na wasandawe
 
Ninachofurahi tu ni kwamba tutaoana tutazaana na itafikia siku ukabila utakua hauna maana!
Iyo kwa wewe uliyepo mjini. Lakini kwa vijijini, mtu yupo Ushirombo atampata kabila lingine wapi?
 
Kama ni ivyo basi. Hata kwenye umalaya sio kwa Wanyakyusa peke yao hata makabila yote yanafanya umalaya Sema makabila haya siku izi kwa umalaya hawajambo Wazaramo, wamatengo, watanga, warangi, wachaga, waarusha, wagogo, wanyiramba na wasandawe
Duh wewe jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafanya tuu rejea kuhusu baadhi ya tabia mbaya za makabila yetu.

Paskali
 
Kwenye nyekundu tuko pamoja.

Wasukuma wakiwa wachawi
Je WAFIPA
WANGONI
WAHA
WADIGO
WAMAN’GATI
Mtawaitaje????[emoji3]
Mleta huu Uzi ana chuki binafsi tu[emoji3]
Wasukuma miaka yoote huitwa washamba[emoji3]
Mara tena wamekuwa wa chawi!!!
Kapige teke kifuu cha nazi tanga uone ka hakijakusemesha[emoji3]au katongoze mke wa mtu sumbawanga kama hujaota. Kende kichwani[emoji3]
Utafiti wako Mkuu naupiga[emoji1321]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…