Sifa mbaya za makabila yetu

Sifa mbaya za makabila yetu

Nimeorodhesha tabia mbalimbali za makabila yetu ili kuangalia ni wapi tumekosea na tujirekebishe ili kuondoa sura yetu mbaya machoni kwa jamii.
Hapa kila mtu akiikana nafsi yake na kuikataa tabia (inayoakisi sifa ya kabila lake) tutapata jamii safi isiyo na taswira mbaya na makabila yetu yote yataheshimika.
Nia ya bandiko hili si kutusi wala kukejeli kabila lolote ndio maana hata wewe unaruhusiwa kuweka kile unachokiona kwenye makabila mengine.

1. Wachagga-wezi
2. Wafipa-wachawi
3. Wazaramo- majungu
4. Wanyakyusa- ukabila, umalaya na kujisifu
5. Wahehe- kujinyonga
6. Wakurya- ukatili
7. Wajaluo- roho mbaya
9. Wahaya- umaalaya, kujisifu na kujisikia
.
10. Wanyiha- wauaji
11. Wakinga- wachawi
12. Wasukuma - wachawi
13. Wapare- umalaya ,nakupenda kesi blue nimeongeza ila red mzee umenigusa naona ulishafanya utafiti
 
mtu asiliseme kabila la mwenziwe ataje ovu la kabila lake kwanza! akku
 
Jamani mmetoa wapi hii maneno mbofu mbofu 😀

Hebu fikiri..........KUNA WANAWAKE WAWILI, KILA MMOJA KAFANYA NGONO MARA KUMI............TOFAUTI YAO NI KUWA MMOJA KAFANYA NA WANAUME KUMI KILA MMOJA KIBAO KIMOJA ........NA MWINGINE KAFANYA NA MWANAUME MMOJA MABAO KUMI....YUPI NI MALAYA.....???
 
Mmh; wazeni na mazuri pia. Ubaya uwe wa mwisho
 
SIFA NZURI

1. Wachagga-wanasaidiana, wanainuana kimaisha, wanafundishana kuendelea
2. Wafipa- (sijawahi kuwa na rafiki mfipa so sijui..)
3. Wazaramo- wanashirikiana kwa shida na raha
4. Wanyakyusa- wakarimu
5. Wahehe- wachapakazi
6. Wakurya- wakarimu na wacheshi
7. Wajaluo- wachapakazi
9. Wahaya- wanasaidiana, wanaelimishana
10. Wanyiha- (sijawahi kuwa na rafiki wa huko so sijui...)
11. Wakinga- (sijawahi kuwa na rafiki wa huko so sijui...)
12. Wasukuma - wakarimu, wanasaidiana
 
Ni wakarimu na wachapakazi sana, wanasaidiana na wanashirikiana kwa shida na raha.
 
Nimeorodhesha tabia mbalimbali za makabila yetu ili kuangalia ni wapi tumekosea na tujirekebishe ili kuondoa sura yetu mbaya machoni kwa jamii.
Hapa kila mtu akiikana nafsi yake na kuikataa tabia (inayoakisi sifa ya kabila lake) tutapata jamii safi isiyo na taswira mbaya na makabila yetu yote yataheshimika.
Nia ya bandiko hili si kutusi wala kukejeli kabila lolote ndio maana hata wewe unaruhusiwa kuweka kile unachokiona kwenye makabila mengine.

12. Wasukuma - wachawi

Hii sio kweli, Wasukuma sio wachawi, bali wanauchukia mno uchawi mpaka mtu akituhumiwa tuu kwa uchawi, huuliwa. Kesi ya Mauji Mwanza na Shinyanga, ni uthibitisho wa chuki ya Wasukuma dhidi ya vitendo vya uchawi.

Tabia mbaya za Wasukuma, ungesema
1. kupenda wanawake weupe matokeo yake wanapenda zaidi ya mwanamke mmoja.
2. Kuwa na moyo wa upendo kupindukia, matokeo yake mioyo yao inakudondokea, hawaoni, hawasikii.
3. Wana roho nzuri kuvuka mipaka, matokeo yake ni watu wa kutumia, mwaga offa na kuhonga sana, hivyo kupata maendeleo kidogo.
4. Wanapenda sana lile somo kupindukia, matokeo yake, wewe kama ni mwanamke, ameolewa na Msukuma chapa ng'ombe, 'rigwaride rinaweza kumshinda'.
5. Wanawake wa Kisukuma, hawana wivu, hali inaopelekea kuwaachia waume zao kujivinjari watakavyo.
6. Wanapenda kufurahi sana, matokeo yake hupenda sana starehe, kujirusha, na kilaji
7. Hawajali, ni ma don't care, matokeo yake wakilewa lazima waimbe, wakiimba lazima wapige kelele ambazo hugeuka bugudha kwa wenzao.
8. Wakikutana hata wawili tuu kwenye kundi la watu wa makabila mengine, wataongea Kisukuma bila kujali kuwa ofend hao wengine wote.
9. Kule Usukumani mfano wilaya ya Bariadi mkoani Shinyanga, lugha rasmi ni Kisukuma kitupu hadi madukani na maofisini hadi ofisi za serikalini.
10. Ni washamba sana, wana poor dress code!.
Mazuri yao.
Ni kabila linaloongoza kwa watu wenye roho nzuri Tanzania, wanaume wanaaongoza kwa kupenda, wanajua kuoa tuu, kuacha hawajui labda waachwe wao, na wanawake wanaaoongoza kwa uvumilivu, kushindia maji, kulala njaa na huku hawana wivu, Wasukuma wanaongoza!

Pasco
 
Are we at this era talking of tribalism? Ha! Hapa sasa kama tukianza hata kufikiria sifa za makabila fulani basi fahamu mtu mwenye mentaliti hii ukimpa ofisi will abuse tu! Maana nepotism and sometimes inferiority complex zitammaliza. Not good governance at all! Lo! Hakuna mwenye label ya tabia hizo zilizotajwa hapo juu!!! Si lazima mhaya eti awe malaya!!! Binadamu yeyote anazaliwa na tabia na hulka tofauti!!!! Unataka pia kuniambia kuwa hata mabinti wa kichaga zamani walikuwa na sifa ya utulivu kwa mume na si malaya, je kwa mtizamo wako na mabadiliko ya dunia sasa hivi, je wachaga wote mabinti wanayo sifa hii tena?!!!! Wapo wachache, I may say!!! But majority now days? What have you aobserved? What can you say?
 
SIFA NZURI

1. Wachagga-wanasaidiana, wanainuana kimaisha, wanafundishana kuendelea
2. Wafipa- (sijawahi kuwa na rafiki mfipa so sijui..)
3. Wazaramo- wanashirikiana kwa shida na raha
4. Wanyakyusa- wakarimu
5. Wahehe- wachapakazi
6. Wakurya- wakarimu na wacheshi
7. Wajaluo- wachapakazi
9. Wahaya- wanasaidiana, wanaelimishana
10. Wanyiha- (sijawahi kuwa na rafiki wa huko so sijui...)
11. Wakinga- (sijawahi kuwa na rafiki wa huko so sijui...)
12. Wasukuma - wakarimu, wanasaidiana

wakurya wa wapi wacheshi?
 
kumbe lvuga umetokea milimani, sikujua.
 
Kwa Wahaya nakubali hilo la kujisifu. Ila hilo la umalaya nina wasiwasi. Labda tupate kwanza "operational definition" ya "umalaya"

Utakuwa Mhaya lazima.Tumia literal meaning
 
Hii sio kweli, Wasukuma sio wachawi, bali wanauchukia mno uchawi mpaka mtu akituhumiwa tuu kwa uchawi, huuliwa. Kesi ya Mauji Mwanza na Shinyanga, ni uthibitisho wa chuki ya Wasukuma dhidi ya vitendo vya uchawi.

Tabia mbaya za Wasukuma, ungesema
1. kupenda wanawake weupe matokeo yake wanapenda zaidi ya mwanamke mmoja.
2. Kuwa na moyo wa upendo kupindukia, matokeo yake mioyo yao inakudondokea, hawaoni, hawasikii.
3. Wana roho nzuri kuvuka mipaka, matokeo yake ni watu wa kutumia, mwaga offa na kuhonga sana, hivyo kupata maendeleo kidogo.
4. Wanapenda sana lile somo kupindukia, matokeo yake, wewe kama ni mwanamke, ameolewa na Msukuma chapa ng'ombe, 'rigwaride rinaweza kumshinda'.
5. Wanawake wa Kisukuma, hawana wivu, hali inaopelekea kuwaachia waume zao kujivinjari watakavyo.
6. Wanapenda kufurahi sana, matokeo yake hupenda sana starehe, kujirusha, na kilaji
7. Hawajali, ni ma don't care, matokeo yake wakilewa lazima waimbe, wakiimba lazima wapige kelele ambazo hugeuka bugudha kwa wenzao.
Mazuri yao.
Ni kabila linaloongoza kwa watu wenye roho nzuri Tanzania, wanaume wanaaongoza kwa kupenda, wanajua kuoa tuu, kuacha hawajui labda waachwe wao, na wanawake wanaaoongoza kwa uvumilivu, kushindia maji, kulala njaa na huku hawana wivu, Wasukuma wanaongoza!

Angalizo: Mimi sio Msukuma!.
Pasco utakuwa mtu wa huko au umekaa nao sana....ni kweli uliyo yasema, lakini wasukuma wamegawanyika vipi wanyatuzu huko wa mzee mapesa ni sawa na kwa Shibuda..
 
Mkitajwa msianze kurukaruka,wahaya wana sifa kweli ila nadhani currently umalaya si tribal issue tena,vipi wagogo,wanyamwezi,waha,wanyamwezi
 
mimi mchaga lakini sio mwizi,rudia tena tuone kama utaweza,kuna tabia fulani ya wachaga imejificha makabila wengine hawaijui:smile-big::smile-big:
 
Mkuu! Kabila gani linakuwaga huko Rukwa maana sijaona sifa yao. Na nasikia it is very danger!
 
Nimeorodhesha tabia mbalimbali za makabila yetu ili kuangalia ni wapi tumekosea na tujirekebishe ili kuondoa sura yetu mbaya machoni kwa jamii.
Hapa kila mtu akiikana nafsi yake na kuikataa tabia (inayoakisi sifa ya kabila lake) tutapata jamii safi isiyo na taswira mbaya na makabila yetu yote yataheshimika.
Nia ya bandiko hili si kutusi wala kukejeli kabila lolote ndio maana hata wewe unaruhusiwa kuweka kile unachokiona kwenye makabila mengine.

1. Wachagga-wezi
2. Wafipa-wachawi
3. Wazaramo- majungu
4. Wanyakyusa- ukabila, umalaya na kujisifu
5. Wahehe- kujinyonga
6. Wakurya- ukatili
7. Wajaluo- roho mbaya
9. Wahaya- umaalaya, kujisifu na kujisikia.
10. Wanyiha- wauaji
11. Wakinga- wachawi
12. Wasukuma - wachawi
Hapo kwenye namba mbili nakataa sio kweli!
 
Back
Top Bottom