Sifa Mbili pekee ndizo hufanya Wanaume wawaite Wanawake Malaya, sio ajabu Mume kumuita Mkewe Malaya hata kama Mkewe hafanyi ufuska.

Sifa Mbili pekee ndizo hufanya Wanaume wawaite Wanawake Malaya, sio ajabu Mume kumuita Mkewe Malaya hata kama Mkewe hafanyi ufuska.

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
SIFA MBILI PEKEE NDIZO HUFANYA WANAUME WAWAITE WANAWAKE MALAYA, SIO ADHABU MUME KUMUITA MKEWE MALAYA HATA KAMA MKEWE HAFANYI UFUSKA.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Moja ya mambo àmbayo Wanawake wengi hawapendi uwaite ni kumuita Malaya, lakini kingine kumuita MCHAFU. Yaani ukitaka Mwanamke ajisikie vibaya basi mwambie yeye ni mchafu. Tuachane na hiyo.

Ni Kawaida Sana kusikia Wanaume wakiwaita Wanawake Malaya. Wakati mwingine sio ajabu ukasikia Mume akimuita Mkewe NI Malaya hata kama Mkewe hafanyi tàbia chafu za uzinifu.

Kuna tàbia Mbili pekee Ambazo Mwanamke akizifanya ataingia kwèñye kundi la Wanawake wanaoitwa Malaya au Makahaba. Tàbia hizo NI kama Ifuatavyo;

1. Kufanya ngono na Mwanaume zaidi ya mmoja.
Yaani Mwanamke yupo kwèñye mahusiano lakini bado anatembea na Wanaume Wengine. Huyo NI pure Malaya.
Malaya siô lazima ajiuze Barabara, au atangaze mitañdaoni. Malaya ni Mwanamke yeyote àmbaye Yule àmbaye haoni shida kuwa na mahusiano zaidi ya moja.

2. Mpenda Pesa Ambazo siô Zake.
Kupenda Pesa siô tatizo Kabisa kama Pesa hizô ni Pesa zako Ambazo unazifanyia Kazi halali. Siô Kosa.
Lakini kupenda Pesa Ambazo siô zako Hilo NI Kosa àmbalo litakuingiza kwèñye majina na Sifa mbaya. Wàpo mafisadi, wàpo wezi, wàpo Majambazi n.k.
Lakini Ikiwa utatumia Mwili wako kuzipata Pesa hizô Ambazo siô zako hata kama ni Kwa Mwanaume mmoja Maisha yako yôte unaingia kwèñye kundi liitwalo MALAYA.
Wewe ni Malaya tuu.

Ikiwa uliolewa Kwa sababu ya Pesa wewe ni Malaya yàani hata úwe na Mwanaume mmoja Kwa Sababu Pesa ndîo msingi wa mahusiano Yenu. Zikiisha utamkimbia Mshikaji.

Wanaume hatuwaheshimu Wanawake Kwa sababu wengi waô Asilimia tisini na Tano wanasifa za Umalaya.

Kitendo cha Sisi Wanaume kusema kuwa Bila kuwa na Pesa Huwezi kuwa na Mwanamke ni kielelezo na ushahidi wa wazi kuwa most Wanawake ni Malaya, Wanawake wanajiuza.

NI kama usikie kijana akisema Mwanamke Bila ya Pesa hawezi kuwa naye, tunamuita kijana huyo Mario au Serengeti boy au mpenda kitonga. Anajiuza.
Ndivyo hivyohivyo, Mwanamke àmbaye yupo kwèñye mahusiano ya kimapenzi na Mume wake au Mchumba huyo anaitwa Malaya.

Malaya hawezi kuheshimiwa au kuheshimika hata Dunia iende irudi. Yaani hakuna wakumfanya Malaya aheshimike Kwa sababu Umalaya ni aibu, aibu Huwezi isafisha. Aibu itabaki kuwa aibu milele.

Taikon kîla Siku nawaambia Vijana, kama lengo Lako n8 kutafuta Mke Basi Pesa haiwezi kuwa sehemu kuu ya Sifa zako ili akuchague.
Mke hataangalia kuwa unapesa ila ataangalia unampenda, unamaadili, unaakili n.k.
Lakini Malaya lazima akuwazie Pesa zako.

Binti zangu, lazima mfanye Kazi, lazima mjifunze kujitegemea na msiwaze Pesa kama kitu muhimu katika kuchagua Wenza wenu.
Ikiwa mtakaidi, mkaacha kujitegemea kama Baba Yenu nilivyowaagiza, mkaziwaza na Kutumia Pesa za Wanaume kama Kigezo cha kukubali mahusiano ya kimapenzi basi ninyi mtakuwa nanyi MALAYA tuu.
Na wakwe zangu WAWAITE Malaya Siku zote mtakazokuwa nao. Na dunia iwaite Malaya.

Lakini Ikiwa mtakuwa wake Bora, Wachapakazi, wazalishaji, Wanawake weñye Sifa Njema, àmbao mmebeba uwajibikaji kama Mke na Mama wa kizazi Bora. Mkisaidia waume zenu. Huku mkiingia kwèñye Ndoa Kwa Upendo na Mapenzi Yenu. Wala pesa au utajiri au umaskini wa mtu kwèñu ísiwe Kigezo Wala kikwazo. Basi Waume zenu watawaita Wake zào na Dunia itawaheshimu.

Fanya Kazi. Usiitwe Malaya.
Usiingie kwèñye mahusiano Kisa kuhudumiwa huo ni Umalaya Malaya.
Alafu unasema unajiheshimu. Hivi unajua Watu wanaojiheshimu kweli!

Binti yàngu, Mtu yeyote asikubabaishe na Pesa Zake. Fanya Kazi. Kile unachopata rizika nacho.
Ukibabaishwa na Pesa Ambazo siô zako ndîo mwanzo wa kuwa Malaya.
Ndio mwanzo WA Kutoa Rushwa ya ngono.
Ndîo mwanzo ya Kutoa Rushwa ya ngono ili upandishwe cheo Wakati umeolewa.

Hata kama unapata elfu Moja Kwa Siku hiyo NI yako. Hiyo ndîo itakupa heshima ya kwèli kuliki ujidanganye na kudanganywa upewe mamilioni ya Pesa Kwa Umalaya. Hakuna atakayekuheshimu isipokuwa utajiona unaheshimika.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
 
Binti zangu, lazima mfanye Kazi, lazima mjifunze kujitegemea na msiwaze Pesa kama kitu muhimu katika kuchagua Wenza wenu. 👈Hapa naomba wanawake muichukue
 
Robert vipi ulibakiza kande ulizoinjika juzi ijumaa? Anyway ila hawa wanawake wazingatie personal hygiene kwa kweli. Yaani unapishana na mrembo kwa road ila ana harufu mbili? Ya manukato na harufu nyingine ya kukera?

Nimemalizia kiporo Leo asûbuhi
 
Back
Top Bottom