Lexus ni 'luxury' brand ya Toyota. Pia kuna models za Lexus zinauzwa soko la Japan kwa majina tofauti kama Altezza na Harrier kama vile Kashi ameeleza hapo juu. Lexus pia wana 'rebadge' Prado, Land Cruiser na Celsior (ambayo ilianza maisha kama Lexus LS400).