Sifa na bei za gari aina ya Lexus

Sifa na bei za gari aina ya Lexus

Olumolongez

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Posts
818
Reaction score
299
Habari za asbh wataalam. Naomba kujua sifa na bei za gari aina ya LEXUS.Naomba sana.
 
Ni Hurrier katika jina lingine kama sikosei.
 
Lexus ni 'luxury' brand ya Toyota. Pia kuna models za Lexus zinauzwa soko la Japan kwa majina tofauti kama Altezza na Harrier kama vile Kashi ameeleza hapo juu. Lexus pia wana 'rebadge' Prado, Land Cruiser na Celsior (ambayo ilianza maisha kama Lexus LS400).
 
Back
Top Bottom