Sifa na tabia za mademu wa ki xhosa (kabila la hayati Nelson Mandela)

Sifa na tabia za mademu wa ki xhosa (kabila la hayati Nelson Mandela)



Mengi yana ukweli, ila mimi naomba niseme hivi:


  1. hapana mkuu, waxhosa sio weupe!
  2. Ni kweli warefu, lakini la shepu sijui una maana gani, nilivowaona mimi, wanawake waxhosa wamefungashia mzigo (niliishi nao for 2 yrs athlone, berleyville, mitchells plain ndani ya capetown)
  3. Kuhusu ngono, sina ushahidi, ili jambo lililo wazi ni kwamba, watu wa SA, wanapenda sana starehe, ikiwemo pombe na ngono, haijalishi kabila!
  4. Kuhusu wageni, nadhani hii ni hulka katika nchi nyingi za kiafrika, karibu wanawake wote wa SA wanapenda sana wageni, kwa utafiti wangu nikiwa kule, nilijua kuwa wao Imani yao ni kwamba wageni wapo SA kusaka mahela, na kwa hiyo wanazo!
SA **** si ya kunyimwa anytime
 
Back
Top Bottom