Mamzalendo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 1,670
- 558
mhhh! Ni ya kweli haya.kwa wadada wamekeketwa halafu wanashea nanihii yani ukioa unaweza tembea na ukoo mzima!!! uchafu mtupu
kwa wadada wamekeketwa halafu wanashea nanihii yani ukioa unaweza tembea na ukoo mzima!!! uchafu mtupu
that is nt true mbona wangu hajakeketwa...then hayo mengine ni kama myth vile.!!kwa wadada wamekeketwa halafu wanashea nanihii yani ukioa unaweza tembea na ukoo mzima!!! uchafu mtupu
Hayo mambo ya kizamani.....wameru wako church-oriented,kanisa la kilutheri linapinga kutahiri wanawake,kuhusu kugawa hiyo inategemea na mtu binafsi,acheni u-primitive!kwa wadada wamekeketwa halafu wanashea nanihii yani ukioa unaweza tembea na ukoo mzima!!! uchafu mtupu
du,na je nikiolewa huko mambo yako vp?ndio hvyohvyo last say ni mme 2?Ninachoelewa ukiowa mmeru ujue yeye ndiye atakuwa mtawala wa nyumba.ndugu zake ndio watakuja lakini upande wako patakuwa na kazi hatajitaidi mlinzi,house b/g wote wawe meru au masai.niwachoyo sanaaaaa!
embu tupe sifa zao za sasa?ili tusiamini hizi za uprimitive,Hayo mambo ya kizamani.....wameru wako church-oriented,kanisa la kilutheri linapinga kutahiri wanawake,kuhusu kugawa hiyo inategemea na mtu binafsi,acheni u-primitive!
ni wafugaji ndugu embu sasa tupe sifa za wao kama wafugaji?Ha ha haaa...kwani Wameru ni wakulima ama ni wafugaji?
hyo ni kwa wanawake tu.du,na je nikiolewa huko mambo yako vp?ndio hvyohvyo last say ni mme 2?
Wameru ni washari sijapata kuona hawana tofauti na Wakurya,pia ni wagomvi kupindukia,leo anaweza kukuzia shamba kesho anabadilika na kudai uondoke,atawaita wanakijiji wenzake waje wakuvamie,wao katika ugomvi wanategemea sana mapanga,visu ,ngumi kavu kavu hawaziwezi na pia ni kama mbwa mwitu ukimpigana na mmoja kesho analeta kundi,hata mimi siwezi kukaa na Mmeru tukaongea la maana,pia wanajifanya wajuaji zaidi na wanapenda sana hela ,hapo arusha dada zao ndio wengi vyangudoa na hilo hawana aibu nalo na hao akina dada pia ni wababe usitegemee utamukopa
Wana visasi vya ajabu sijapata ona.
sasa unaulizia nini kama majibu unayo.... ni wabishi kuliko ubishithat is nt true mbona wangu hajakeketwa...then hayo mengine ni kama myth vile.!!