Sifa na tabia za wameru

Sifa na tabia za wameru

Status
Not open for further replies.
kaka hawa w meru pasua kichwa mi mwenyewe nimetoka kuzinguana na wakwangu muda si mrefu.

I blive it coz kunaugomvi ambao c walazima, mfano upo umekaa na Wana samwea hataki anataki uwe home du!
 
sasa si urudi??

Kwani wee umeoa au una mahusiano na samwhea??

I blive it coz kunaugomvi ambao c walazima, mfano upo umekaa na Wana samwea hataki anataki uwe home du!
 
hebo oa haraka
watoto wa mmeru na msukuma huwa wako bomba afu vipanga wa kufa mtu.

Acha upoyoyo basi.

Mrekebisha hayo mambo madogo sana, huwa wavumilivu ukiwaweka mahali pake.

Na utafuga ng'ombe hata kama hutaki.

Natuma salamu kwa wameru wote, hureee!
salam nimezipokea kongosho asante,ila c wote wakorofi mbona mi mpole sana tu
 
Kama ni mchumba ni haki yake kuwa mkorofi na amekuonyesha true colours zake. Faida yake ni kwamba una nafasi ya kutokujilaumu utakapotafuta mwingine kuliko ukijicommit halafu mambo yasibadilike. Utajuta sana kuliko utakapotafuta mwingine hata kama atatokea kuwa mkorofi utajua anyhow I made efforts to change the situation.

Rethink do not let infatuation eat your whole flesh. There is nothing like love when it is not reciprocated. Do not be stupid. Wake up my dear forum member.

Wengine nao wachangie lakini hii ni baseline.
 
Nimeishi Arumeru kwa takribani miaka 4, kimsingi Wameru huwa hawapendi kuzingulia kama ilivyo kwa Wamasai, ila nyuma ya pazia wapo poa ingawa wana hasira
 
Bottom line ni kuwa kuwahandle madem wa kimeru ni challenge! Ni watata kwa vitu vingi
 
hamnaga uhusiano mrahisi hebu tulizana na ujaribu kumuelewa khaaa kama umempenda kweli utatafuta suluhisho baba...
 
Wameru hawapendi kuonewa angali haki yao ipo vile vile wanawake pia wanapenda kutendewa haki.
 
Humtoshelezi, hao wanapangusa ile kitu kama wachaga, wamasai, Warangi, wakurya n.k. Unatakiwa uanzie mbali sana umbembelezee ndiyo hisia ije. Wamenyimwa raha masikini wamemkata huko uvunguni. Akishalegea mpige bao, akiendelea na ugomvi njoo tena utuambie tukupe mbinu mpya.
 
Mkuu hawa watoto ni kwere kuwa nao makini ukiwapiga chini hawakubali kirahsi. kuna ambao wanatokea sehem moja hivi inaitwa sing'ic chezea ugeuzwe migomba
 
Kama we ni mpenzi wa makalio makubwa basi utafaidi maisha!
Lkn ukimuudhi anaweza akakulamba sime ya kiuno wakati ukiwa usingizini!
 
mh inapofikia hapa mi huwa naamua kukaa tu pemben..............

huwa sipend tabia ya mtu mmoja ihusishwe na kabila zima.......
 
Hasira na reactions zao hazitabiriki...

Sasa wewe umeshamjulia mpenzi wako, jitahidi kumhandle...hamna mtu kamilifu!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom