Nina mmeru hapa always tunagombana mpaka ndoto zangu za kumuoa zinapungua? Je ni huyu tu wakwangu au ndo tabia ya wanawake wakimeru full ugomvi, from nathing to beef, naomba maelezo kwa wameru mliopo msukuma me nataabika!

na ukimletea za kuleta atakuchoma kisu cha makalio nakwambia
Nimeishi Arumeru kwa takribani miaka 4, kimsingi Wameru huwa hawapendi kuzingulia kama ilivyo kwa Wamasai, ila nyuma ya pazia wapo poa ingawa wana hasira
hamnaga uhusiano mrahisi hebu tulizana na ujaribu kumuelewa khaaa kama umempenda kweli utatafuta suluhisho baba...
We share experience tu!mh inapofikia hapa mi huwa naamua kukaa tu pemben..............
huwa sipend tabia ya mtu mmoja ihusishwe na kabila zima.......