Sifa nyingine ya Augustine Mahiga: Yeye ndiye "Shahidi Y" kwenye kesi ya Uhaini ya mwaka 1982/83

Mkuu JokaKuu,
Hao mawakili wa serikali upo sawa kasoro huyo Mbwambo siyo .
Ni Johson Mwanyika ndiye aliyekuwa wakili.
Mbwambo ni mwanahabari.

..asante kwa masahihisho.

..Johnson Mwanyika alikuwa mmoja wa mawakili wa serikali ktk kesi ya uhaini, na baadae akaja kuwa Mwanasheria Mkuu.
 
..Huyu ndio alikuwa Mwendesha Mashtaka ktk kesi ya uhaini.


Judge William Hussein Sekule sworn in as member of the Appeals Chamber
APPEALS CHAMBER
PRESS RELEASE
(Exclusively for the use of the media. Not an official document)
The Hague, 18 March 2013
JKE/CS/PR1552e
Judge William Hussein Sekule sworn in as member of the Appeals Chamber

Judge William H. Sekule
Judge William H. Sekule from the United Republic of Tanzania was today sworn in as a new permanent Judge to the ICTY and assigned to the Appeals Chamber. Judge Sekule’s appointment brings the total of number of permanent ICTY Judges to 19.
Biographical Note
Judge William H. Sekule joins the Appeals Chamber from the Trial Chambers of the International Criminal Tribunal for Rwanda where he has worked since May 1995. He served as Presiding Judge of Trial Chamber II from June 1995 to June 1999 and again since June 2001.
Judge Sekule was born in 1944. Before joining the Tribunal, he was State Attorney, Senior State Attorney and Principal State Attorney from 1970 to 1979 in the Attorney General’s Chambers of Tanzania. He was Director of Public Prosecutions in the United Republic of Tanzania from October 1979 to April 1987 and Judge of the High Court of Tanzania from April 1987 to June 2004. Judge Sekule was a member of the Board of the Faculty of Law, University of Dar es Salaam (1978-1987) and a member of the Police and Prison Service Commission from 1978-1987. He participated in the meetings of the 6th and 7th United Nations Congress on The Prevention of Crime and The Treatment of Offenders, in 1980 and 1985, respectively, in Caracas (Venezuela) and Milan (Italy). He also attended the Preparatory Meeting for the Africa Region for the 7th United Nations Congress on The Prevention of Crime and The Treatment of Offenders in Addis Ababa (Ethiopia) in 1983, where he was also elected one of the Vice-Chairmen of the meeting. Judge Sekule attended the 39th (1983) and 40th (1984) sessions of the United Nations Commission on Human Rights in Geneva (Switzerland) as Deputy Leader of the Delegation of the United Republic of Tanzania.
Judge Sekule graduated in Law from the University College of Dar es Salaam of the University of East Africa (1970).
International Criminal Tribunal for the former Yugoslavia
For more information, please contact our Media Office in The Hague
Tel.: +31-70-512-8752; 512-5343; 512-5356 - Email: press@icty.org
Follow ICTY on Facebook, Twitter and Youtube
 
Mzee pinda nae alikuwa hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kwako and salute kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha mzee peter siyovelwa nilkwenda ofini kwake 2003 akiwa mwenyekiti wa alart nikaongea nae kumbe ndio ilikuwa ya mwisho kuonananae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuu hatari sanaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee umebomoka balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Historia hii imenifanya nianze kusoma upyaa kitabu cha kesi ya uhaini kila kurasa ninayomaliza kusoma na mwili unanisisimka

Ukimfuatikia Shahidi wa kwanza Ndugu Mhando jinsi alivyobanwa na maswali kutoka kwa Wakili Lakha utamuonea huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, pia nilishasoma mahali , nadhani ni humuhumu JF kuwa Wakili Lakha alianza kazi kama karani wa mahakama baadaye akajiendeleza na shule ya mambo ya sheria.
Wakuu Chakochangu na Tukundane,
Japo Murtaza Lakha alikuwa na asili ya Kihindi, alizungumza Kiswahili vizuri sana, kama alivyo sasa Prof. Issa Gullamhusein Shivji. Sikubahatika kuijua asili yake ila Prof Shivji ni Mtanzania.

Lakha hakusomea sheria, bali alianzia kwenye ukarani wa mahakama kule nchini Uingereza, Barristers Chambers, na kupanda hadi kufikia ngazi ya wakili, baadaye ndio akahamia Tanzania na batch ya mwanzo ya mawakili kina Hussein Muccadam, Majithia etc ambao wengi walikuwa na asili ya Kihindi kwasababu tulitawaliwa na Uingereza, sheria zetu zote za mkoloni ni copy and paste para materiale (neno kwa neno) toka sheria za India.

Baadae alirejea Uingereza hadi alipoitwa jumla.
He was real good.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…